Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 234
Kwa namna hii kijana wetu anaweza kusonga mbele saana, mradi aangalie malengo asiwe limbukeni.Pombe, wanawake, ni sumu ya game. Akazanie saana mazoezi alekebishe kasoro zake kwa maelekezo ya coacher, atulie acheze mpira aongeze speed through much practice. Hongera Niza!!!!!!!!!!...What I like about this guy, he is very modest. Huwezi kumuona na kumsikia kwenye magazeti....kama vile hayupo. Ni juzi tu alikuwa kwenye kikosi cha timu yake wakiwavaa manchester city.
Mishahara ya kwenye MLS sio kama ya timu za Europe, Nizar Khalfan analipwa $61,250.00 kwa msimu.safi sana nizal, wasije wakawa wanakutumia tu ndugu yetu wanakulipa vizuri kweli? walau $10,000 kwa wiki si mbaya sana, mwanzo ni mgumu Kaza buti hivyo hiyvo.
Hongera nizal na nakutakia mengi mazuri. Kiu ya watanzania kuona vijana wetu katika soka mnatutangazia nchi inaanza kuzaa matunda. Hongera sana sana nizar. Awamu ya Kikwete hiyo, ona vijana wanavyopata ajira duniani na pesa nzuri. Natoa hongera kwa raisi wetu JK pia kwa kuthamini sana kukuza vipaji vya vijana wake.