ndevu mzazi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 687
- 238
Video nzuri nyimbo ya kawaida sana,
angalieni wadau ili tujiridhishe kama kweli katumia 30,000$
Mmespesholaizi kwenye dibeti za sekendare? Edukesheni is beta than ignorensi.
Mnahangaika, mwenzenu anaingiza siku.
katika wimbo mbaya kwa diamond huu mmoja wapo