chekaaaa time. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

chekaaaa time.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by asakuta same, Jan 17, 2012.

 1. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  nimepata uvivu kupitia hapa km imeshawahi kutolewa ,ikiwa hivyo basi ipotezee.


  Pedejee mmoja alienda na mkewe
  muziki, akapita binti mzuri akamsalimia,
  mkewe akamuuliza ,’Yule nani?’
  Akajibu ‘Huyo nyumba ndogo yangu’.
  Mke akaja juu,’Nataka talaka yangu’.
  Pedeshe akajibu, ’Powa ntakupa, lakini kumbuka safari za kwenda Uchina na
  Dubai ndio zitakuwa basi tena, na ishu
  za kwenda saluni mara mbili kwa wiki
  utazikosa, sijui utakuwa unatumia gari
  gani maana sitakuachia gari hata moja’.
  Mama kakaa kimya. Akapita binti mwingine, Pedeshe kamwambia
  mkewe ‘Huyo nyumba ndogo ya rafiki
  yangu’. Mke wa pedeshe
  akasema,’Mhhh huyu wala siyo mzuri
  kama nyumba ndogo yetu!
   
 2. M

  MUMY A JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  loooo...huo ni unyanyasaji!
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaa!!!!
  aseeee!!!
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha!
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  [h=6]BAADA ya shughuli kitandani mwanamke akataka kumuadhiri mpenzi wake akamwambia.
  MWANAMKE: Huna lolote kumbe maneno yote yale 'gitaa lako dogo namna hii'!!!
  MANAUME AKAJIBU: Sawa unajua sikujiandaa kwa sababu sikudhani kuwa nitatumbuiza kwenye uwanja mkubwa wa Taifa!!
  [/h]
   
 6. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mwemwee mwe!
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  duh....!!!!!!!
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  eti sio mzuri kama nyumba ndogo yetu
  toooba! kanyoosha maelezo mwenyewe
  fedha fedhea
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hela mwanaume...lol
   
 10. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hahahahahahahahah eti nyumba ndogo yetu
   
 11. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #11
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Waswahili wanasema (fedha fedhea)
   
 12. Geo Gambi

  Geo Gambi Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Alikuwa anataka leta muchezo na MAPESA
   
Loading...