mzee wa misele
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 366
- 46
CHEKA KIDOGO
Majambazi waliliteka gari moja lililokuwa limesheheni abiria. Baada ya abiria kusachiwa na majambazi hao na
kukutwa hawana pesa, majambazi wakasema kila mtu atapigwa viboko ( bakora ), kutokana na namba ya shati alilovaa. Aliyekuwa hana namba atasalimika.
Kazi ikaanza, jamaa alievaa jezi ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwingine aliyevaa nguo ya 50 cent akapigwa 50, n.k. Sasa kwa pembeni kulikuwa na jamaa analia sana kila akijiangalia.
Kumbe alikua amevaa fulana limeandikwa 'MAGUFULI 2015' doh! Unajua kilichotokea... ngoja niweke simu chaji!!! Au kesho