Cheka uongezee siku

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,487
5,111
Baba namwanae...
Mtoto kamuuliza babaake:
''Eti baba, unataka kuanza tena shule?

Baba akauliza: ''Kwa nini umeniuliza hivyo?

Mtoto akamwambia: ''Jana usiku, niliskia ukimnong'oneza mama eti kama hujachoka! nirudie la pili..!

''Hivi baba mimi niko la nne, wewe na mama itakuwaje muende la pili?
Usikubali hata kidogo.

''baba akajibu '' kuanzia leo unalala jikoni shenzi."
 
Back
Top Bottom