Cheka kispoti

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,738
Mwandishi alikwenda kumuhoji dereva moja mzee akiyekwisha staafu;
MWANDISHI: Mzee unaweza kunambia siku ambayo ulipata jambo la kutisha kuliko yote katika maisha yako ya udereva?
DEREVA: Ndio, kuna siku nilikuwa na teremka milima wa Sekenke, ghafla gari likaanza kupamba moto, kuminya breki zikakataa, nikaampigia kelele utingo aruke aweke kigogo, kumbe nae amekwisha ruka zamani, chini kukawa na gari linapanda mlima ikawa wazi nipeleke gari pembeni bondeni AAAAAAAAAAAA dah nimeharisha
MWANDISHI: Ni kweli Mzee katika hali hiyo mtu yoyote angaharibikiwa.
DEREVA: Siyo hivyo, nimekumbuka hiyo siku ilivyokuwa inatisha nimejiharishia sasa hivi, ndugu mwandishi dah…
 
Ilikua Mchana, teja Kabanwana Swaumu sasa kukawa na kipindi kwenye redio cha kuchagua nyimbo, Teja akapiga Simu Redioni akasema mi Nipigieni Adhana tu, Nifuturu..
 
"Mke: Natamani ningekuwa gazeti, kila siku mimi tu ndo nakuwa kwenye mikono yako.
Mume: Hata mimi natamani sana ungekuwa gazeti, kila siku ningekuwa na gazeti jipya.
 
"Mke: Natamani ningekuwa gazeti, kila siku mimi tu ndo nakuwa kwenye mikono yako.
Mume: Hata mimi natamani sana ungekuwa gazeti, kila siku ningekuwa na gazeti jipya.
teh teh teh hapakukalika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…