KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,261
- 69,467
Jamaa mmoja alishikwa akiwa na mitambo ya kutengenezea gongo ikafika siku ya mahakamani akawekwa kizimbani mambo yakawa hivi...
Hakimu;unashtakiwa kwa kosa la kukamatwa na mitambo ya kutengenezea gongo mtuhumiwa una la ku jieleza..?
Mtuhumiwa;hakimu me sioni kosa hapo!
Hakimu;kivipi..?
Mtuhumiwa;me polis wamenikata na mitambo tu lkn sio gongo asa kosa langu hapo ni lipi..?
Hakimu;kosa lako ni hiyo mitambo uliyonayo inaweza kutengeneza gongo wakati sheria hairuhusu.
Mtuhumiwa;kama ndo hivyo basi nifungulieni na mashtaka ya kubaka..!
Hakimu;kwanini..?
Mtuhumiwa;maana hata hapa nlipo nnakifaa cha kubakia..!!
We ndo ungekuwa hakimu ungemjibuje..?