Cheka kiduchu

Cheka kiduchu

TihZ

Senior Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
158
Reaction score
26
Hii imetokea Mbagala katika purukushani za kugombea daladala masikini bibi wa watu akafanikiwa kupata siti,basi kwa furaha machozi yakaanza kumtoka ikabidi konda amuulize ''bibi vipi mbona unalia tena'' yule bibi akamjibu ''aah we acha tu mjukuu wangu nipo hapa Mbagala kwa miaka 30 lakini sijawahi kupata siti kwenye daladala hata siku moja ndio leo nimebahatika konda akamjibu ''duuh pole bibi lakini hiyo siti uliyokalia ni ya dereva''
 
Hii imetokea Mbagala katika
purukushani za kugombea daladala masikini bibi wa watu akafanikiwa
kupata siti,basi kwa furaha machozi yakaanza kumtoka ikabidi konda
amuulize ''bibi vipi mbona unalia tena'' yule bibi akamjibu ''aah we
acha tu mjukuu wangu nipo hapa Mbagala kwa miaka 30 lakini sijawahi
kupata siti kwenye daladala hata siku moja ndio leo nimebahatika konda
akamjibu ''duuh pole bibi lakini hiyo siti uliyokalia ni ya
dereva''

kwani aliingilia mlango gani?
 
kwa mara ya kwanza hiki kituko nimekiona kwenye COMEDY SHOW ya EATV
 
Marudio ya kila kukicha humu jamvini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom