MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Hakuna cha kubembelezana hapo.. Huo ni uroho tu.Haaa haa haaa we kiboko ungenifanyia mimi hivo siku hiyo hiyo ndo ingekuwa bye bye!...see mi na tabia hii lakini sio kama namdokolea lahasha! Jus show love to him, kuwa tuko pamoja! We inaonekana hujui hata kubembeleza/ kubembelezwa utakimbiwa coz wanawake wanapenda kudeka sana shauri yako!
Hakuna cha kubembelezana hapo.. Huo ni uroho tu.
Ndo nyie nyie mkimwagwa mnakuja humu na kulia lia ovyo mmeachwa!...vitu kama hivi vidogo vidogo vinaenhance mapenzi...ubabe peleka MUSOMA.
Wana tamaa Sana Hawa Wadudu!
Mkuu kwani wanakula bila kunawa vizuri?Kulamba mikono noma, wanajishikaga pabaya.
Haaa haa haaa we kiboko ungenifanyia mimi hivo siku hiyo hiyo ndo ingekuwa bye bye!...see mi na tabia hii lakini sio kama namdokolea lahasha! Jus show love to him, kuwa tuko pamoja! We inaonekana hujui hata kubembeleza/ kubembelezwa utakimbiwa coz wanawake wanapenda kudeka sana shauri yako!
Mkuu kwani wanakula bila kunawa vizuri?
Ndiko ulikopita huko na ukalamba kila kitu!..so mkono is not a big deal!
Hahahaaa, mkuu umenipiga chenga sio, wafundishwe wakishanawa wasishikeshike vitu watakula uchafuHapana. Wanashika shika vitu vingi sana. Utakuta mara akutumbue kipele. Mara akutoe kauchafu. Mara akushike kidefu. Hapo mnakula.
Sikushangai.
Toka lini mchagga akajuwa maana ya mahaba!
Hapana mimi wa kabila lingine kabisa. Ni vile sitaki mchezo. Ale chake kama hajashiba aseme, nitanunua kingine. Ishanitokea, kudokolewa mishkaki yangu kwa kuwa ni mingi na yeye kaagiza miwili tu wakati nilimuambia agizia chochote. Nikaita muhudumu nikamwmbia mpe mishkaki kumi huyu. Ili aache kula ya kwangu.
Hahahaaa, mkuu umenipiga chenga sio, wafundishwe wakishanawa wasishikeshike vitu watakula uchafu