Cheka kidogo

Cheka kidogo

ALINE KLEYPAS

Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Tajiri mmoja Kutoka Morogoro alisikika na Dogo wake akimwambia mfanyakazi wake 'put more effort and add more labour'. Ilipofika jioni Dogo, babake, mamake walijisitiri kwa makochi maridadi chumbani mwao mwa maakuli. Haya ndio mazungumzo baina ya Dogo na babake:

Dogo: baba!
Baba: naam.
Dogo: nataka mtoto wa kike.
Baba: anamwangalia mkewe, kisha anawaza,wa nini?
Dogo: niwe nacheza na yeye. Kwa hivyo put more effort and add more labour.
 
Kumchekesha mtu ingekuwa rahisi hivyo kila mtu angekuwa mchekeshaji...
 
Kiac nmechek hao ndo watoto wa dijital
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom