T tajiri wa mwanza Senior Member Mar 1, 2017 138 226 Apr 12, 2017 #1 Hivi ukifungiwa kwenyee stoo ya hela bank alafu uko uchi utaficha wap hela utoke nazo na utatoka na sh ngp iv?
Hivi ukifungiwa kwenyee stoo ya hela bank alafu uko uchi utaficha wap hela utoke nazo na utatoka na sh ngp iv?
Iceman 3D JF-Expert Member Sep 3, 2016 20,611 67,091 Apr 12, 2017 #4 kwanza kwanini ufungiwe benki, halafu uwe uchi, waache kote waka kufunge kwenye stoo ya hela. hai make sense kabsa
kwanza kwanini ufungiwe benki, halafu uwe uchi, waache kote waka kufunge kwenye stoo ya hela. hai make sense kabsa
I Islam005 JF-Expert Member Nov 1, 2008 3,342 3,494 Apr 12, 2017 #5 Kwani ni lazima kutoka na hela? Wanipe nguo zangu niondoke