Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,685
- 28,769
Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva
Zima muziki
dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia
Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio
Dereva akatii akazima... halafu akasimamisha bodaboda na kusimama pembeni
Shekh akamuuliza Dereva "Nin tena!?" dereva akNajibu
Wakati wa mtume hakukuwa na bodaboda, shuka usubiri ngamia..!!