Cheferik food services and supply inahuhitaji na workers

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,018
8,104
Cheferik ni moja ya biashara inayotarajia kuanza hivi karibuni 15 March 2019. Itakayo jishughulisha na utoaji wa huduma za vyakula na vinywaji

Cheferik imeplan tayari kutoa huduma za vyakula na vinywaji kwa njia tofauti tofauti kama service delivering ilimradi huduma inamfikia mteja popote alipo katika eneo husika, pia mteja anaweza akafuata huduma pale anapohitaji.

Hivyo basi Cheferik inayofuraha kutangaza fursa kwa watakao hitaji kujiunga na kufanya kazi pamoja kama familia ili kuweza kutoa huduma bora na nzuri kwa wahitaji na kufikia malengo na mafanikio kwa Cheferik na Mteja kunufaika na huduma zetu.

Malengo ya cheferik ni kufikia wateja wengi kwa huduma zake na hata kuvuka eneo husika.

Cheferik inahitaji food suppliers (2)
Majukumu:
1. Hawa watasaidiana kuuliza, kupokea na kupeleka order ama huduma kwa mteja.
2. Kupata taarifa sahihi kuhusu huduma wanazopenda wateja,
na majukumu mengine yanayohusiana na kazi.

Sifa sitahiki ni pamoja na:
1. Uaminifu kwenye kazi,
2. Uwezo wa kuwasiliana vizuri na mteja good customer care,
3. Kuweza kufanya kazi under pressure,
4. Usafi binafsi na unadhifu ni muhimu
5. Wenye kuanzia uhitimu wa kidato cha nne (IV) candidates watapewa kipao mbele.
6. Jinsia ya kike watapewa kipaombele kwenye nafasi hii.

Mshahara ni maelewano kuanzia 5,000+ kwa siku,
Malazi watajitegemea

Cheferik inahitaji Mpishi Chef(1)
Majukumu ya kazi
1. Kuandaa Chakula.

Sifa sitahiki ni
1. Awe ana utaalamu wa kupika vyakula tofauti tofauti.
2. Usafi binafsi ni muhimu.

Mshahara ni maelewano kuanzia 6,000+ kwa siku
Malazi ni nje ya uwezo wa Cheferik

ofa: Ipo nafasi moja tu kwa ajili ya malazi, kwa atakayewahi atapatiwa nafasi hiyo.

Bado nina muda wa kupokea maombi wakati wowote kuanzia sasa

MWISHO: WAOMBAJI WOTE WAWE TAYARI KUFANYA KAZI WILAYA YA MOSHI MANISPAA.
Ahsanteni wote mtakao vutiwa na fursa hii na niwatakie kila la kheri kufanikisha zoezi hili.
PM IKO WAZI AU nitumie message whatsup kupitia +255 678 502 276
 
Cheferik inahitaji Mpishi Cooker(1)

Cooker
Screenshot_2019-02-23-16-17-24.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well interested chef bado anahitajika, naomba kupata mpishi ambaye yupo tayari kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom