Vyakula na vinywaji vinavyosababisha Kansa

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
525
1,098
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food(Vyakula vya kuoka)
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye(Rangi za vyakula na vinywaji)
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.(Hot drinks eg Coffee)
10.Dairy(Vitu vilivyosindikwa).
 
Screenshot_20240311-154409.jpg
 
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.
10.Dairy

Asante kwa bandiko.
Naomba kujibiwa yafuatayo:
1. Hivi ni vyakula vinavyosababisha au vinavyoweza kusababisha kansa?
2. Ukila kwa kiasi gani?
3. Ukila kwa muda gani? Namaanisha duration.
4. Watu wenye umri gani huathirika?
5. Kama suala la vinasaba vinahusika.
 
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.
10.Dairy
Nyie wagonjwa malizeni dozi zenu za maradhi yanayowasumbua acheni kutisha watu wazima

Magonjwa yenu hayakusababishwa na vyakula au vinywaji na mnajijua vizuri kilicholetelea hayo magonjwa mnayopigwa marufuku msile wala kunywa hiki na kile
Tulieni malizeni dozi zenu za dawa acheni kuja kururuka huku
 
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser.
1.Nitrates
2.Alcohol
3.Fried Food
4.Trans Fats
5.Canned Tomato
6.Food Dye
7.Mircrowave Popcorn
8.Red Meat
9.Hot Beverages.
10.Dairy
Tule nini sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom