Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,587
- 19,838
Mimi Ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.
Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo tamu kupitiliza Kama ya Cheed wa Kondegang.Kiukweli huyu mwana kajaliwa na sauti ya kipekee ambayo Ni nadra Sana kwa wasaniu wengi.
Ni msanii ambaye ndo Kwanza anachipukia na naamini akipewa support ya kutosha kutoka kwenye Label yake ya Kodegang, meneja wake na mashabiki zake kea ujumla bila Shaka atafika mbali.
Nyimbo zake Bora alizowahi kuachia Ni For you akimshirikisha Marioo,Masozy,Toto na Wandia.Juzi Kati aliachia dude Kali Sana linalosumbua airwaves kwa Sasa linaloitwa NDOA.Humo jamaa aliua Sana has a kwenye lyrics na Melody.
Tafadhali tuwapeni support wasaniu wetu wa Africa Mashariki hasa wale wanaoibukia Kama kina Cheed na wengine ili waweza kuzipeperusha benda za nchi zetu katika mataifa mengine kwenye fani ya muziki.
Wengine hatumjui, ni nani huyo Cheed?.Aiseee...
Siwezi kumweka.kwenye la wenye sauti nziri kihivuo maana anaibana bana ila wandia niliuelewa.
Rama D, Belle 9 Damian Soul, Ben Pol
Mimi Ditto nasikiaga anaimba kama Tundaman.Kwa kumtaja Rama D aisee we jamaa mziki unaujua. Muweke na Q Chilla hapo pia mfikirie na Ditto
Killy ni mashine japo mshikaj yupo kiparoko sanaPia Killy ana melody nzuri sana, hawa wawili wanaimba bongo flavour yenyewe
Yes, Killy Yuko vizuri sana.Killy ni mashine japo mshikaj yupo kiparoko sana
Benpol usimsahau pia AlicomMimi Ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.