Check this out internet faster kaa mkao wa kula

sidhani kama itakuja tokea mkuu...hata TV zenyewe huwezi kutumia satellite dish mbili kwa wakati mmoja.
duh mkuu satellite dish sio mbili tu, ni hadi nne zinatumika kwa wakati mmoja. just unaziunga kwa kifaa kinaitwa diseq switch. inaziunga dishes zooote zinakuwa kama single list of tvz/
na hiyo ya internet mbona tushaunganisha saaana
 
Kumbe hicho ni kifaa...mimi nilidhani ni software ndio maana nikabisha. Najiuliza swali sasa kama unatumia internet connection zaidi ya moja. kwenye swala la IP...Public IP ipi ndio itakayo onekana?
 
angalia hii software jinsi inavyounga modem mbili na kuongeza chupidi.....
dispatch mpya.png
 
duh mkuu satellite dish sio mbili tu, ni hadi nne zinatumika kwa wakati mmoja. just unaziunga kwa kifaa kinaitwa diseq switch. inaziunga dishes zooote zinakuwa kama single list of tvz/
na hiyo ya internet mbona tushaunganisha saaana

diseq huwa inaunganisha Lnb tofaut not Satelite dish tofaut... Inaweza weka lnb za cband, ku nk
 
usiwe mkaidi. sema hujawahi kuunganisha madishi tofauti kwa kutumia diseq. yote mawili yanawezekana. dish moja ukilifunga lnb nyingi tuseme 3 inakuwa ni sawa na madishi matatu. kwa sharti kuwa hizo satellite ziwe zinakaribiana muelekeo. lakini kama ni tofauti inabidi uengeze idadi ya madishi.
kwa mfano unaweza kufunga dish ukalipa lnb 2 likaelekea north, na jengine kama unataka likamate satellite za west inabidi uliekeze huko kisha yote mawili unayoconnect kwa diseq.
angalia mchoro diseqc_diagram.jpg
 
na anayetaka kuunganisha hadi madishi manane basi afuate mchoro huuu 22Khz_Bypass.jpg
 
Back
Top Bottom