Cheche: Ya Mboma, Meremeta, na Apson!

- Siku kutakapoguswa huko tu, utaona yatakayojiri mark my words! Maana watakuja mpaka humu ndani bila hodi! Maana kumbuka mstaafu wa idara ni a former military man,

hivi unajua alipokuwa soldier professional yake ilikuwa ni nini? Na aliyowahi kuyafanya live na hiyo professional yake, kwenye army? Yaani wee acha tu ndugu yangu!


Kaka weka hii wazi kaka umeniacha nadhani sio mimi tu tuko wengi twaitaji jua ,tafadhali sherehesha!
 
I would like for someone to make a link between Mboma and Mwang'onda in order to shed more light. This link is likely to be within BOT to coordinate all this. Is it Mama Komu, Mwakosya or the other guy?
 
Mimi silielewi hilo neno na ni mvivu kwelikweli hata ku-google/ku-kamusi kupata maana yake, na ndio maana nimelalamika!!

unahitaji kujifunza jinsi ya kuongea na watu....
hasa huko ni kutaka sifa tu na kuendeleza mjadala bila sababu yoyote, si ameomba msamaha jamani au........? yaishe tuendeleze libeneke.
 
Mwanakijiji asante sana kwa kijaridi cha cheche ninafyatua kopy nyingi sana kwa kila ninayemjua.
Damu yetu ni ukombozi wa kizazi chetu na watoto wetu.
 
Mwanakijiji asante sana kwa kijaridi cha cheche ninafyatua kopy nyingi sana kwa kila ninayemjua.
Damu yetu ni ukombozi wa kizazi chetu na watoto wetu.

Hicho ndicho kitasaidia sana... mimi mwenyewe nimetuma nakala kwa maafisa waandamizi wa Polisi..
 
Hicho ndicho kitasaidia sana... mimi mwenyewe nimetuma nakala kwa maafisa waandamizi wa Polisi..
Mwanakijiji!,sasa ule usemi wa kwamba "Nchi itatikisika" ndo-unaingia akilini sasa. ....C.D.F,National Intelligence....a joke is a joke BUT people this is a SERIOUS SCANDLE!!
 
Sifa unataka wewe unaedakia usoyajua! kuomba msamaha haitoshi....:( mwambieni jamaa yenu aache hizo the likes of hasty generalizations.

We must be doing something right when as we get closer and closer to the truth, some quarters start to squirm in their seat.

We must be doing something right when the guilty by association start grasping for breath as the air around them starts getting thin.

We must be doing something right as we witness the efforts of a drowning man trying to grasp at the last straws.

We must be doing something right when the jesters start their spins in their futile attempts to come to the aid of their king as the noose tightens.

It is indeed right to pile up more pressure since, having come this far, it is not wise to let up. Hold on comrades, we are almost there.
 
Congratulations mwanakijiji,kazi nzuri inatia moyo mimi nimekwisha print hard copy yangu na nyingine naprint niwapelekee rafikizangu. You are the hangman, the men have been found guilty tighten the noose until they die; no let up!!
 
Re: Ya Mboma, Meremeta, na Apson!

--------------------------------------------------------------------------------

kazi nzuri Mwanakijiji utalipwa na baba wa amani

BABA ALIPWE MARA MBILI HUYU!!HUONI VINONO UNAVYOPATA BURE
PEPONI UNALIPIA HIVI,,
 
Angalau sasa naanza kuelewa kwa nini kuna watu wanamvalia njuga MKJJ, haangalii sura, dini, rangi, kabila wala cheo cha fisadi. He dares tread where the faint-hearted will never never venture kwa sababu woga ameishaupa kisogo, come what may. Every thing starts with but one step, asiogopwe tena mtu and MKJJ has shown the way.

Big up MKJJ, you are one of the select few who have decided not be swayed by the cheap rhetoric being perpetuated by the sycophants and because of this I salute you. Cheche may be a lone voice in the wilderness of JF but its aftershocks will reverberate across the beautiful land of Tanzania and some of us will try our best to make sure it does.

I call upon all JF members who have the interest of our country at heart to make copies of Cheche available to as many wananchi as one can. I, with my little resources, am starting right now and yes, we can !!!
__________________

SI HILO SOMA MWISHONI UMESHAURIWA KUKIGAWA AMA KUTOA COPY KWA KILA MTU!!!
MUNGU AKUPE NINI )))))???????????????
 
Watu wana haki ya kumpinga MKJJ kama wewe ulivyo na haki ya kumuunga mkono......mijitu mingine hoooovyo sana

KAMA WEWE MKUU



KUZATIKA!!!!1
 
naomba tujadili issues za meremeta na mambo yaliyomo humu. Nashukuru kwa pongezi (nisizozistahili kwani mtu yeyote anaweza kufanya ninachofanya na wapo wanaofanya zaidi). Lakini nyingine zinaniongezea maadui nisiowahitaji kwa kweli.
 
naomba tujadili issues za meremeta na mambo yaliyomo humu. Nashukuru kwa pongezi (nisizozistahili kwani mtu yeyote anaweza kufanya ninachofanya na wapo wanaofanya zaidi). Lakini nyingine zinaniongezea maadui nisiowahitaji kwa kweli.[/QUOTE

Cuzin hii kitu mbona mimi nashindwa kusoma ipo na maandishi madogo sana nitapata wapi hard copy yake...je ipo online na kama ipo how...nitumie kwenye email basi
 
Back
Top Bottom