Cheche: Ya Mboma, Meremeta, na Apson!

naomba tujadili issues za meremeta na mambo yaliyomo humu. Nashukuru kwa pongezi (nisizozistahili kwani mtu yeyote anaweza kufanya ninachofanya na wapo wanaofanya zaidi). Lakini nyingine zinaniongezea maadui nisiowahitaji kwa kweli.[/QUOTE

Cuzin hii kitu mbona mimi nashindwa kusoma ipo na maandishi madogo sana nitapata wapi hard copy yake...je ipo online na kama ipo how...nitumie kwenye email basi

Ngoja nicheki kidogo cuz..
 
- Siku kutakapoguswa huko tu, utaona yatakayojiri mark my words! Maana watakuja mpaka humu ndani bila hodi! Maana kumbuka mstaafu wa idara ni a former military man,

hivi unajua alipokuwa soldier professional yake ilikuwa ni nini? Na aliyowahi kuyafanya live na hiyo professional yake, kwenye army? Yaani wee acha tu ndugu yangu!

.... FMES, tudokezee hayo majamboz mkuu wangu!! Inabidi kila maovu tuyaweke kwenye print, moja baada ya jingine, vizazi vijavyo vije vione tulikotoka vikiwa na nyaraka zenye maandishi.
 
Kazi ya kusambaza naona imepamba moto, kuna jamaa bila kujua kama nipo ktk mtandao, kanitunimia kijijalada hicho. Hebu tuone itakavyokuwa...
 
...itoke mara ngapi wakati mimi nilisha iprint tayari... nagawa copy kuanzia Mwanza South, Mwaloni mpaka Pansiasi(kwenyewe)!!!

mmh.. hakikisha husogeli pale kwenye roundabout ya karibu na makao makuu ya CCM (karibu na Gandhi Hall)..
 
The house is on fire!! Ahsante MKJJ, mambo mengi yaliyotaka ufumbuzi wa KASI yamekua yanapigwa chenga..ama kweli huu ni mchezo wa kuigiza.
Kwa kweli, EPA ni cha mtoto ukifatilia hii issue kwa karibu. Uteuzi wa mawaziri katika wizara nyeti na teuzi katika mambo nyeti amepangwa kuficha maovu badala ya kutatua matatizo (BIG MISTAKE!!)
Hivi tunakwenda mbele au tunarudi nyuma? Ukabila, Udini etc. pia vimeweza kujipenyeza katika mapungufu makubwa ya uongozi wa sasa.
 
Kazi ya kusambaza naona imepamba moto, kuna jamaa bila kujua kama nipo ktk mtandao, kanitunimia kijijalada hicho. Hebu tuone itakavyokuwa...

Wandugu mimi sijapata kijarida cha wiki hii na kuna watu kibao huwa nawasambazia wananisubiri sasa nifanyeje?
 
Back
Top Bottom