Cheche Exclusive: Siri ya Upatu Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheche Exclusive: Siri ya Upatu Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 22, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  M/kijiji mbona file halifunguki wanasema liko damaged? ama ni comp.yangu ndo inashida?
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Apr 22, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  yawezekana ni computer yako au ni Adobe Reader yako. Hakikisha unayo the most updated version ya Adobe Reader.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,238
  Trophy Points: 280
  Asante MMKJJ, nimekusoma, nataka kucoment kuhusu nyaraka, naomba kama utaanzisha thread yake.
  Kuhusu upatu, siwalaumu watu, Watanzania tuu wajinga ili sio kosa letu, ni umasikini uliokithiri umepelekea any hopes to make it, wanafakamia kwa kishindo.

  Nasymphasize na masikini wakutupa waliokata tamaa na kuchukulia desi kama mkombozi wao katika desparation ya kuondoa umasikini wao, wakati huo huo, siwahurumii matajiri waliowekeza mitaji mikubwa kwa tamaa ya easy money, 'easy come, easy go', hawa wasirudishiwe hata hizo mbegu!.

  I reserve the my comments kuhusu serikali yetu na desi, tumeshapiga sana nyundo, hebu niwaache wapumue japo kidogo
  Huku watu wa nyundo, endeleeni kogonga mpaka msumari utokezee upande wa pili.
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Apr 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Tumia adobe kuanzia 6 na kuendelea au fox reader version yoyote -- halafu mwanakijiji jitahidi kuweka hichi kijarida sehemu huru ya mtu kuweza kukichukuwa
   
Loading...