Cheating kwa miaka 7

Adhabu yote iyo ni kwakua kakucheat tu??

Si uachane nae sasa hivi, vipi akigundua huo mpango wako na akakudedisha maana hapo ni kuwindana tu.
Ukiachana naye kienyeji, atatafuta haki zake za kumiliki mali, na akifanikiwa, mali zako anaenda kutumbua na wauni wengine.
 
Kizazi ambacho wanaume wanaongozwa kuteswa na mapenzi kuliko wanawake na hawajui wafanye nini, inasikitisha sana
Wewe ni dhaifu sana, pathetic
 

Swali ni je.. wewe wakati mko wachumba ulikuwa nae tu au walikuwa wawili watatu ukamchagua yeye. Kama walikuwa wengi, jua kabisa hata yeye ni binadamu hivyo inawezekana alikuwa na jamaa zake kabla yako.

Swali lingine, wewe umekata mawasiliano kabisa na wapenzi wako wa zamani, yaani mmekuwa maadui.. mimi sioni shida kama wanawasiliana, labda kama hayo mawasiliano ni ya kimapenzi ndio naweza kukuelewa.

Kama ameomba msamaha kwa kuwa na uhusiano na myu mkiwa wachumba naona hiyo inatosha.

Mwisho wa siku, wewe ndie mwenye maamuzi na una mjua mkeo, lakini je.. wewe unaona ni sawa kuvunja ndoa na mkeo kwakuwa tu alikuwa na mahusiano na mtu wakati hamja oana? Kama unaona ni sawa umwache kwa kosa la zamani.. basi hukuoa mke sahihi kwako au wewe mwenuewe una matatizo.
 
asante sana kwa majibu yako mazuri ila kaomba msamaha kweli sana tena ameshika hadi kuruani kuapa kuwa huyo jamaa hata zamani hajatembea naye ila alikuwa anamtaka sana ila waliwasiliana jumbe nyingi za mapenzi ila ameomba msamaha na amesem hatorudia tena kufanya mawasiliano naye na hata mwanaume mwingine yeyote hasa kwenye maswala ya kimapenzi na pia aliamua kubadiliaha na namba zake za simu zote
 
Kwahiyo umemsamehe?
 
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…