Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,785
- 21,028
KujambaLeo ninayajua hayo mawili ya kiinglish, kissing na touching. Hilo jingine(flirting) naomba maana yake tafadhali
KujambaLeo ninayajua hayo mawili ya kiinglish, kissing na touching. Hilo jingine(flirting) naomba maana yake tafadhali
Utani uliokaa kama kimapenzi au kutamaniana. Inatokea sana maofisini, mfano mwanaume anamwambia binti una lips nzuri zinafaa kwa kukiss.. halafu binti anajichekesha tu kwi kwi kwi wee bwana acha utani huo.Flirting ni nini?
Cheating isn't always kissing,
touching, or flirting. If you
gotta delete text messages
so your partner won't seem
em, you're already there.
Muwe na wikiend njema.
Ehhh kwani unaonaje?
Thanx, hiyo mbaya sana.Utani uliokaa kama kimapenzi au kutamaniana. Inatokea sana maofisini, mfano mwanaume anamwambia binti una lips nzuri zinafaa kwa kukiss.. halafu binti anajichekesha tu kwi kwi kwi wee bwana acha utani huo.
Ndo mnavyojidanganya hivo...ukifanya vitendo vinavyoweza kupelekea wewe kucheat hio tayari ni kucheat kama ni kuongea na mwanamke kimahaba n.kIt ain't cheating till you get caught.
We all are entitled to our opinions. Keep urs as I have kept mine.Ndo mnavyojidanganya hivo...ukifanya vitendo vinavyoweza kupelekea wewe kucheat hio tayari ni kucheat kama ni kuongea na mwanamke kimahaba n.k