Hii trainer na mod ipi bora??Mkuu
Cheats zimepitwa na wakati, sikuhizi tunatumia TRAINER
Ukiwa google andika jina la game kisha weka neno : trainer
Download hii app..(Kumbuka kufunga anti-virus, kwani zinahisiwa ni virus)
Soma instructions za trainer yako
Fungua trainer...kisha run game lako...
Halafu bonyeza key...ktk keybord yako kama ulivyoelekezwa...
Kisha furahia free unlocks
Natumia desktop na usb cable imekufafa siwezi connect internetMkuu
Cheats zimepitwa na wakati, sikuhizi tunatumia TRAINER
Ukiwa google andika jina la game kisha weka neno : trainer
Download hii app..(Kumbuka kufunga anti-virus, kwani zinahisiwa ni virus)
Soma instructions za trainer yako
Fungua trainer...kisha run game lako...
Halafu bonyeza key...ktk keybord yako kama ulivyoelekezwa...
Kisha furahia free unlocks
Natumia desktop na usb cable imekufafa siwezi connect internet
Kuna code kweli huko au unataka nikuongezee viewers?
Nimeuliza kishkaji mkuu maana kuna wengine hutumia msiba kama fursa
Shukrani sana mkuu