Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
mimi mbona home haina nguvu hiii wakati nikiweka ama ya 10000 kwa wiki au 20000 kwa wiki ina nguvuu ia nikisema niweke ya 200 wajanaja night offer inakuwa hola
nipe link hio mkuu, afu nlikutana na post yako moja nyuma huko ukiulizia mashine I5 processor vp ulipata? i'm also looking 4 that.
link hii hapa Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3. nilichofanya mie ni kununua modem 3 za voda, halafu baada ya kuinstall drivers za ya kwanza nikatengeneza dial up for each line (v1, v2 & v3) ili kuepuka usumbufu wa connection alafu nika edit autorun ya dashboard ya voda kuepuka usumbufu zaidi. kila saa tatu natuma mia mbili kwa hizo lines za modem via mpesa then kwa kutumia dashboard ya voda ninajiunga na nyt offa. ukiunganisha ukwame usisite kuniuliza au the master mwenyewe e2themiza
kuhusu core i5 desktop nilikosa mtu wa kuniuzia hapa kitaani ila nilinunua core i3 kwa wahindi atown wanaitwa Benson & Co. walinipa kwa 750k brand new, 4GB RAM na 500GB HDD. nilinunua pia GPU ya nvidia hapo kwao ya laki moja ila sio nzuri sana kwa gaming (video encoding yake angalau). bado natafuta core i5, sasa hivi naishi Dar, nikipata nitakushtua. nafikiria kuhusu ebay, ila duh, mambo ya online transactions na ujanja wangu wote naogopa

brand new laptop za core i3 2nd gen zinaanza 650k na za 3rd gen kuanzia 750k. core i5 nayo za 2rd gen zinaanzia 700k na 3rd gen kuanzia 850k. nimeona little difference between the two especially on laptops ila za 3rd Gen zina less power& consumption (smaller die= lesser power used, cooler laptops & more power time)
labda hivyo mkuu ila sio ishu ngoja niendelee kukamuana na tigoyani hapo jibu rahisi ni hivi,
hiyo ya 20,000 posible upo mwenyewe au mpo watu wachache thats why speed kubwa.
Hio ya 200 mnaeza kuta mtaa mzima mnatumia thats why speed inadrop.
labda hivyo ila sio ishu ngoja niendelee na mandazi tigo
Mitandao ya simu wana kitu kinaitwa speed sharing wanaeza wakatoa labda 10mbps mtaani kwenu, inamaana mkiwa 10 kila mtu atapata 1mbps mkiwa 100 kila mtu ana 100kbps mkiwa elfumoja kila mtu 10kbps inakua like that mkuu
Ni GPU gani hyo walikuuzia mkuu? GTX 8800?
Limesitishwa lipo jipya 3500 unapewa 500MBLile Bando La Airtel La sh.2500/= Unapata 400MB Bando Lipo?
"Wajanja night offer" ni noooma.............Nakuunga mkono. Vodacom is the fastest with 3.5 G. ukilipa 20,000 kwa mwezi, unapata 5 GB, unatumia mpaka!. Pia wana package inaitwa "Wajanja night offer" unalipia 200 tuu na kupata unlimited kati ya saa4:00-1:00 asubuhi!.
Pasco.
Limesitishwa lipo jipya 3500 unapewa 500MB
460 uliipata kwa sh ngap ba wapi mkuu....coz now i am jelous!! and what kind of MOBO are you using?niwie radhi Cestus, sikuona swali lako. sikumbuki ilikuwa ni ipi, nikienda a.town nitakujuza as bado ipo. kwa sasa nimeifunga gtx 460, nina mpango wa kuvuta core i3 nyingine hapa dar na gtx 660ti au Radeon HD 7950 (ile nitapata cheaper)