Cheap internet access

Cheap internet access

mimi mbona home haina nguvu hiii wakati nikiweka ama ya 10000 kwa wiki au 20000 kwa wiki ina nguvuu ia nikisema niweke ya 200 wajanaja night offer inakuwa hola

yani hapo jibu rahisi ni hivi,

hiyo ya 20,000 posible upo mwenyewe au mpo watu wachache thats why speed kubwa.

Hio ya 200 mnaeza kuta mtaa mzima mnatumia thats why speed inadrop.

Mitandao ya simu wana kitu kinaitwa speed sharing wanaeza wakatoa labda 10mbps mtaani kwenu, inamaana mkiwa 10 kila mtu atapata 1mbps mkiwa 100 kila mtu ana 100kbps mkiwa elfumoja kila mtu 10kbps inakua like that mkuu
 
nipe link hio mkuu, afu nlikutana na post yako moja nyuma huko ukiulizia mashine I5 processor vp ulipata? i'm also looking 4 that.

link hii hapa Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3. nilichofanya mie ni kununua modem 3 za voda, halafu baada ya kuinstall drivers za ya kwanza nikatengeneza dial up for each line (v1, v2 & v3) ili kuepuka usumbufu wa connection alafu nika edit autorun ya dashboard ya voda kuepuka usumbufu zaidi. kila saa tatu natuma mia mbili kwa hizo lines za modem via mpesa then kwa kutumia dashboard ya voda ninajiunga na nyt offa. ukiunganisha ukwame usisite kuniuliza au the master mwenyewe e2themiza

kuhusu core i5 desktop nilikosa mtu wa kuniuzia hapa kitaani ila nilinunua core i3 kwa wahindi atown wanaitwa Benson & Co. walinipa kwa 750k brand new, 4GB RAM na 500GB HDD. nilinunua pia GPU ya nvidia hapo kwao ya laki moja ila sio nzuri sana kwa gaming (video encoding yake angalau). bado natafuta core i5, sasa hivi naishi Dar, nikipata nitakushtua. nafikiria kuhusu ebay, ila duh, mambo ya online transactions na ujanja wangu wote naogopa
 
Last edited by a moderator:

lemmi get on it, nna modem ya Voda imekaa humu ndan 4 a while acha nii2mie, duh asee good deal hio. BTW Hivi I3 or I5 laptop price ikoje brand new? I'm sick of these dual core cr*p! Nataka atleast I5 2nd generation quad core sema price hio cjui ikoje.
 
Last edited by a moderator:
brand new laptop za core i3 2nd gen zinaanza 650k na za 3rd gen kuanzia 750k. core i5 nayo za 2rd gen zinaanzia 700k na 3rd gen kuanzia 850k. nimeona little difference between the two especially on laptops ila za 3rd Gen zina less power& consumption (smaller die= lesser power used, cooler laptops & more power time)
 
link hii hapa Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3. nilichofanya mie ni kununua modem 3 za voda, halafu baada ya kuinstall drivers za ya kwanza nikatengeneza dial up for each line (v1, v2 & v3) ili kuepuka usumbufu wa connection alafu nika edit autorun ya dashboard ya voda kuepuka usumbufu zaidi. kila saa tatu natuma mia mbili kwa hizo lines za modem via mpesa then kwa kutumia dashboard ya voda ninajiunga na nyt offa. ukiunganisha ukwame usisite kuniuliza au the master mwenyewe e2themiza

kuhusu core i5 desktop nilikosa mtu wa kuniuzia hapa kitaani ila nilinunua core i3 kwa wahindi atown wanaitwa Benson & Co. walinipa kwa 750k brand new, 4GB RAM na 500GB HDD. nilinunua pia GPU ya nvidia hapo kwao ya laki moja ila sio nzuri sana kwa gaming (video encoding yake angalau). bado natafuta core i5, sasa hivi naishi Dar, nikipata nitakushtua. nafikiria kuhusu ebay, ila duh, mambo ya online transactions na ujanja wangu wote naogopa

Ni GPU gani hyo walikuuzia mkuu? GTX 8800?
 
Last edited by a moderator:
brand new laptop za core i3 2nd gen zinaanza 650k na za 3rd gen kuanzia 750k. core i5 nayo za 2rd gen zinaanzia 700k na 3rd gen kuanzia 850k. nimeona little difference between the two especially on laptops ila za 3rd Gen zina less power& consumption (smaller die= lesser power used, cooler laptops & more power time)

thnx kaka, thnx alot! Hii outdated dell celeron processor, specs kubwa you know clockspeed 3Ghz, 3gig ram 300Gig HDD lakini ni utumbo 2, nikirun games lyk fifa2013 ni dissaster. Nmeweka emulator ya PS2 so as 2 play me ol tym favorite GoW imecrash. So thats it, nataka niupdate bna na nnavoona kumbe hata descent I7 iko within reach! Pa1 mkuu
 
yani hapo jibu rahisi ni hivi,

hiyo ya 20,000 posible upo mwenyewe au mpo watu wachache thats why speed kubwa.

Hio ya 200 mnaeza kuta mtaa mzima mnatumia thats why speed inadrop.

labda hivyo ila sio ishu ngoja niendelee na mandazi tigo

Mitandao ya simu wana kitu kinaitwa speed sharing wanaeza wakatoa labda 10mbps mtaani kwenu, inamaana mkiwa 10 kila mtu atapata 1mbps mkiwa 100 kila mtu ana 100kbps mkiwa elfumoja kila mtu 10kbps inakua like that mkuu
labda hivyo mkuu ila sio ishu ngoja niendelee kukamuana na tigo
 
mbna mnabishana sana,,, hiyo speed inategemea na vitu vingi ikiwemo location ya mtu,,, mfano me hapa nilipo voda haina hata 3g ni mwendo wa konokono.... lakin tigo iko ok
 
Ni GPU gani hyo walikuuzia mkuu? GTX 8800?

niwie radhi Cestus, sikuona swali lako. sikumbuki ilikuwa ni ipi, nikienda a.town nitakujuza as bado ipo. kwa sasa nimeifunga gtx 460, nina mpango wa kuvuta core i3 nyingine hapa dar na gtx 660ti au Radeon HD 7950 (ile nitapata cheaper)
 
Last edited by a moderator:
Nakuunga mkono. Vodacom is the fastest with 3.5 G. ukilipa 20,000 kwa mwezi, unapata 5 GB, unatumia mpaka!. Pia wana package inaitwa "Wajanja night offer" unalipia 200 tuu na kupata unlimited kati ya saa4:00-1:00 asubuhi!.
Pasco.
"Wajanja night offer" ni noooma.............
 
Limesitishwa lipo jipya 3500 unapewa 500MB

Kwa siku 7 tu. Kwa msaada zaidi soma hapa:

v USSD piga nambari *154*44# na kisha ufuate maelekezo ya namna ya kuchagua kifurushi husika.
v Tuma SMS kwa kuandika jina la kifushi husika na kisha tuma kwenda nambari 15444.
VOLUME BASED BUNDLES
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 151"] DATA VOLUME
[/TD]
[TD="width: 142"] BUNDLE PRICE(TSH)
[/TD]
[TD="width: 170"] KEYWORD TO ENROL
[/TD]
[TD="width: 142"] BUNDLE VALIDITY
[/TD]
[TD="width: 161"] OUT OF BUNDLE CHARGES
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 25 MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 1,500
[/TD]
[TD="width: 170"] 25MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 100 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 150 MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 2,500
[/TD]
[TD="width: 170"] 150MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 7 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 100 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 250 MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 10,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 250MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 100 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 500 MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 12,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 500MB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 100 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 1 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 15,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 1GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 75 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 2 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 25,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 2GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 75 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 3 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 3GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 75 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 5 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 45,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 5GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 75 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 8 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 70,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 8GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 75 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 15 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 140,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 15GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 75 per MB
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 151"] 20 GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 200,000
[/TD]
[TD="width: 170"] 20GB
[/TD]
[TD="width: 142"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 161"] Tsh 100 per MB
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

TIME BASED BUNDLES
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 473"]
[TR]
[TD="width: 141"] 1 HR
[/TD]
[TD="width: 158"] 200
[/TD]
[TD="width: 167"] HOUR
[/TD]
[TD="width: 166"] 60 MINS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 141"] 1 DAY
[/TD]
[TD="width: 158"] 500
[/TD]
[TD="width: 167"] DAY
[/TD]
[TD="width: 166"] 24 HOURS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 141"] 7 DAYS
[/TD]
[TD="width: 158"] 10000
[/TD]
[TD="width: 167"] WEEK
[/TD]
[TD="width: 166"] 7 DAYS
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 141"] 30 DAYS
[/TD]
[TD="width: 158"] 30000
[/TD]
[TD="width: 167"] MONTH
[/TD]
[TD="width: 166"] 30 DAYS
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
niwie radhi Cestus, sikuona swali lako. sikumbuki ilikuwa ni ipi, nikienda a.town nitakujuza as bado ipo. kwa sasa nimeifunga gtx 460, nina mpango wa kuvuta core i3 nyingine hapa dar na gtx 660ti au Radeon HD 7950 (ile nitapata cheaper)
460 uliipata kwa sh ngap ba wapi mkuu....coz now i am jelous!! and what kind of MOBO are you using?
 
mtandao wa internet inategemea na eneo ulilopo. mimi voda imekataa huku tanga ila nlivokua dar ilikua poa tu
 
Back
Top Bottom