Cheap internet access

babumufty

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
223
Reaction score
77
naombeni mnisaidie ni mtandao gani hapa bongo ni cheap kwa internet.na gharama zake zikoje
 
mitandao mingi bongo iko hivi:
KAMA bei ni rahisi, huduma ni mbovu
KAMA huduma ni nzuri, bei ni ghali! Wewe unataka mtandao wa bei rahisi au wenye internet inayopatikana?
Maana unaeza pata bei rahisi ila kitu LOADING... lisaa lizima
 
Ni vodacom. Kwa sh 20,000/= unapata GB 5 ambazo zinadumu kwa siku 30. Ukiwa mwanagalifu zinaweza kuisha siku 30 na bado una 1GB au 2GB zimesalia (siku 1 au 2 kabla ya siku 30 kutimia, lasivyo zikiiisha siku 30 na haujatumia lililosalia wanakuachia 0) ambazo unaweza kuzitumia kudownload movies au programs unazozipenda. Kumbuka ku-turn off automatic updates katika machine yako isipokuwa kwa antivirus.
 
Lile Bando La Airtel La sh.2500/= Unapata 400MB Bando Lipo?
 
zantel ni powa tu. 20,000 one month unlimited
 
Nakuunga mkono. Vodacom is the fastest with 3.5 G. ukilipa 20,000 kwa mwezi, unapata 5 GB, unatumia mpaka!. Pia wana package inaitwa "Wajanja night offer" unalipia 200 tuu na kupata unlimited kati ya saa4:00-1:00 asubuhi!.
Pasco.
 
Voda, 20,000 5GB, au 30,000 unlimited up/down ila speed inashuka baada ya matumizi fulani + night offer unaweza kukamua 5GB or more kwa 200/= per night. Haina mshindani.
 
yah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!
 
yah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!

mkuu mimi mbona leo nimejiunga speed hakuna kabisa nikampa dogo atumie eti kuanzia saa 4 mpaka saa 5 8MB tu speed ipo low kupita maelezo, nmeamua kulala!
 
yah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!

wajanja nyt inalipa haina mfano. tangu nianze kuitumia nimejaza HDD ya 1TB. thanx 2 e2themiza nilipata ujanja wa kuunganisha modem tatu + speeds zinazo range 300-600kb for each modem. siku hizi hata sina hamu nayo as nimeshindwa ni kucheki kila movie/ series nilizopakua
 


ewaaa hiyo ndio hata mimi naitumia tena iko fasta sanaaa
 

nipe link hio mkuu, afu nlikutana na post yako moja nyuma huko ukiulizia mashine I5 processor vp ulipata? i'm also looking 4 that.
 
[QUOTE=Jaffary;5784292]mkuu mimi mbona leo nimejiunga speed hakuna kabisa nikampa dogo atumie eti kuanzia saa 4 mpaka saa 5 8MB tu speed ipo low kupita maelezo, nmeamua kulala![/QUOTE]

don't know wat to say, mayb location mkuu. Nipo Mwz now 4 a while speed ni amaizing ikishuka below 500KBps nashangaa, but dar sometymes inakua low kidogo but even with that descent 200-400KBps speeds are archived
 
yah Voda kweli wako kwenye league nyingine!! Just downloaded 7Gigs usiku wa jana for only 200tsh hio offer yao ya wajanja night!!
mimi mbona home haina nguvu hiii wakati nikiweka ama ya 10000 kwa wiki au 20000 kwa wiki ina nguvuu ia nikisema niweke ya 200 wajanaja night offer inakuwa hola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…