MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 929
- 1,310
Naunga mkono hojaKundi kubwa la Wajinga kwa sasa katika Nchi hii ni Vijana wa Ccm wamejitoa ufahamu wakiamini UCHAWA utawapa Maisha
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Vijana leteni mijadala yenye tija nyinyi kazi kujadili chawa!Unakuta vijana wanajua kabisa kwamba ili upate uteuzi kwasababu mamlaka na katiba imempa Rais hiyo nguvu ya kuteua kila mtu ni lazima unakuta vijana wana ile tabia ya kujipendekeza kwahiyo sasa ile Demokrasia ya kumkosoa na ya kukosoa inakuwa haipo kwa vijana."
Siasa ipo japo imebakwa na ccm na kuingiliwa na wafia chama na walafi wa madaraka wasiojitambua wapi walipotoka,walipo na wakotakiwa kwenda
Lete wewe,unangojea uletewe tuVijana leteni mijadala yenye tija nyinyi kazi kujadili chawa!
Unajitoaje kwenye hilo kundi la kuletewa!Lete wewe,unangojea uletewe tu
Wewe si ndiye umeleta hoja ya kuletewa. Vya bure vimekumponza ndiyo maana wajuba wanakufumuaUnajitoaje kwenye hilo kundi la kuletewa!
NIkwambie kitu mimi ni kuli matusi ni taaluma yangu tufungue uzi wa matusi tu sio kwenye nyuzi wa watu habith la ammary kigari kisicho na ngazi unadandiwa!Wewe si ndiye umeleta hoja ya kuletewa. Vya bure vimekumponza ndiyo maana wajuba wanakufumua