Chawa wanawaroga Viongozi au Chawa wanarogwa na Viongozi? Maana kwa sasa imekuwa ngumu kutofautisha Nani Kiongozi na Nani Chawa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,750
147,965
Tulipofika ni pagumu sana unaweza kudhani kuna Watu wanatuongoza kumbe wao ndio wanaongozwa

Ijumaa ya Leo tumuombe sana Mungu atufanyie wepesi kama Taifa

Jumaa Mubarak 😃🌹
 
Tulipofika ni pagumu sana unaweza kudhani kuna Watu wanatuongoza kumbe wao ndio wanaongozwa

Ijumaa ya Leo tumuombe sana Mungu atufanyie wepesi kama Taifa

Jumaa Mubarak 😃🌹
Viongozi waliishapita enzi za ngedere kwa sasa tunaongozwa na chawa.watanganyika tuamke na tuachane na hawa chawa.tutengeneze mifumo imara kupitia katiba mpya ambayo haitazalisha machawa ndani ya serikali.
 
Back
Top Bottom