Chawa mtandaoni mnazidi kuleta mambo ya ajabu

Chawa mtandaoni mnazidi kuleta mambo ya ajabu

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,525
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na Rais wa Marekani.

Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia.

Kuwekea kikwazo na Marekani sababu ya udanganyifu na mauaji ambayo wanatumia nguvu nyingi.

Walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.
Screenshot_20251218-082026.png
 
Hajaiona Trump hio amshukie na maban ya kutosha..?
 
Kuna chawa walitengeneza picha kuwa asilimia 98 aliongea na raisi wa marekani.

Kumbe sisi huku ndani tukufahamu walifanya hivyo kuaminisha dunia.

kuwekea kikwazo na marekani sababu ya udanganyifu na mauwaji ambayo wanatumia nguvu nyingi.

walivyoona hivyo walifuta ila hii ni sehemu ya ushaidi.View attachment 3516978
halafu kuna wale vijana mamluki wa kile chama chenu cha waropokaji wanaolelewa pale nairobi na yule mbibi mwenye mashavu kama bodi ya bajaji,

mbona siku hizi hawatengenezi tena artworks za porojo za oct.29?
au uzushi umewaishia? :pulpTRAVOLTA:
 
Unaongelea hawa machawa viazi pumpkin heads
machawa promax buku7 from lumumba street!
 
Sijaelewa, kwamba kuna watu walisema amekutana na Trump au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom