GE2025 CHAUMMA yamjibu Polepole madai ya kutumika na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake kimebaki kuwa chama cha upinzani chenye msimamo wa kusimamia kile alichokiita kuwa ni haki za wananchi

Mpatili ametoa kauli hiyo akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza wakati akijibu tuhuma za hivi karibuni kutoka kwa aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa Humphrey Polepole ambaye amekuwa akidai kwamba baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini ikiwemo CHAUMMA ni 'project' ya CCM

Soma pia GE2025 - Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha

Hili ni chama Cha kutafuta ubwabwa na vyeo...
 
Ujinga ujinga tu
 
Sio kila mwanachama wa CHAUMMA anaijua hii siri. In fact, wanachama walio wengi hawajui. Inawezekana huyu ni mmoja wa wale wasiojua!
 
Porojo cha CHAUMA hakuna asiyezijua hata kama Polepole amekazia zaidi.
 
GfF9ragacAAWv7q.jpeg
 
TAKATAKA MAVI
 
Upuuzi Mtupu- tukutane hapa baada ya 30/10/2025 na aje tena atoe hiyo press conference.
 
Matusi yanini Sasa nyie CDM manakwama wapi jamaani wekeni hoja mezani na sio kutukana TU haisadii Bali ukweli ndio huo
 
Ujinga mtupu,unabishana na mtu aliyekuwa anaratibu project zinazowalisha
Hii hoja haina mashiko wala uhalisia kwa kumhuisha polepole kwasababu Chaumma imepata nguvu polepole akiwa nje ya mfumo. Japo sikatai they are used by CCM to imposter opposition while is just a controlled opposition.
 
Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi (CCM), badala yake kimebaki kuwa chama cha upinzani chenye msimamo wa kusimamia kile alichokiita kuwa ni haki za wananchi

Mpatili ametoa kauli hiyo akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza wakati akijibu tuhuma za hivi karibuni kutoka kwa aliyewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa Humphrey Polepole ambaye amekuwa akidai kwamba baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani hapa nchini ikiwemo CHAUMMA ni 'project' ya CCM

Soma pia GE2025 - Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mradi wa kundi mtandao ambao wamewezesha

Chadema ni viumbe vipumbavu hakuna mfano, yalivyo mataahira yanafikiri wao ndio wana hati miliki ya upinzani, mambwa hayo yanafikiri kuitwa upinzani ni sifa na wanayo wao tu. Kwamba hakuna chama kingine cha upinzani ila wao tu kisa wanatofautiana mitazamo na mikakati ya uendeshaji wa shughuli. Kila atakayetofautiana nao ni chawa wa CCM, ndio maana wameitwa nyumbu. Ila kiukweli dola itafute namna ya kudelete na kuifuta kabisa chadema ni hatari kwa mustakabali wa nchi hii, hv km kila anayetofautiana nao ni kumtukana, kumdhalilisha ikitokea washike madaraka kuna kiumbe wa kuwahoji? Mtu km Lissu awe na madaraka atamsikiliza kiumbe yyte? Yule dikteta hatari. Wafie mbali na washindwe na kulegea
 
🌈
 
Back
Top Bottom