Tetesi: GE2025 CHAUMMA wahaha kusaka Mgombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,126
Reaction score
9,593
Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma

Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
 
Chauma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.😂😂😂
 
Chauma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Kupata vichekesho vingine kama hiki. Gonga like, comment and subscribe
 
this is not even my concern... My concern is, who told Noah to put bedbugs inside the ark😆😆😆😆😆
For some of us politics iin Tanzania is time wastage,
 
Chauma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Nipo tayari kuokoa jahazi! Wanichukue mimi nitahakikisha sera ya ubwabwa inakonga nyoyo za watanzania wote na tunashinda uchaguzi!
 
Katelefoni si yule pale hana namba ....au? 🤔
 
Chauma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Hiiii,mbona Mzee wa Ubwawa yupo,ama hataki kiti?je Mrema g55 naye hataki?
 
Chauma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.

Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMA inavyokubalika uenda chama icho kikashinda majimbo zaidi ya 70.

Stay tuned.

Mto wa Mbu
Illinois -USA
Mrema rais mwalimu makamu😅
 
Back
Top Bottom