GE2025 CHAUMMA: Tutashinda Majimbo yote 272

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,448
Reaction score
2,099
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo: ITV
 
Wameahidiwa majimbo matatu tu...hao Njaa kali.
 
Ccm mwaka huu wanalo, 😂 😂 😂 wametuchezea kwa miaka mingi. Safari hii hawaambulii hata jimbo moja yote Chauma *****. Chauma hawacheki na wowote
 
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo: ITV
No reform No Election
 
Attachments

  • HildaNewton21_720p_20250715_080230.mp4
    1.5 MB
Hawa motivational speakers wana moto wao wa kipeke yao huko jehanamu
 
Na urais atashinda mzee ubwabwa, patamu hapo! Serikali mpyaaaa!
 
Wajinga wengi wanaichukia siasa.
Mjinga muoga namkubali sana, kuliko shujaa aliyekufa. Tanzania we are not one/together.
Wanakushabikia, ukipatwa na majanga wanaweka mikono nyuma kama hawakujui.
Yatima na wajane wa Ben Saanane, Ally Kibao, Mawazo, Azory Gwanda, na maelfu waliouwawa na wengine wako jela miaka 8 tangu Magufuli,,, umewahi kuwapelekea japo mkate au unajitia shujaa kwenye simu.
 
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma Tanzania Bara (CHAUMMA) Bw. Benson Kigaila, amesema wako tayari kusimamisha wagombea katika majimbo 272 na wana uhakika wa kushinda viti vyote sababu wana sera za kuiletea maendeleo nchi

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chanzo: ITV
Kuendelea kupata taarifa kama hizo tuma neno "NICHEKESHE" Kwenda namba "155544"
 
Mjinga muoga namkubali sana, kuliko shujaa aliyekufa. Tanzania we are not one/together.
Wanakushabikia, ukipatwa na majanga wanaweka mikono nyuma kama hawakujui.
Yatima na wajane wa Ben Saanane, Ally Kibao, Mawazo, Azory Gwanda, na maelfu waliouwawa na wengine wako jela miaka 8 tangu Magufuli,,, umewahi kuwapelekea japo mkate au unajitia shujaa kwenye simu.
Kwani walipokuwa wanafanya siasa walikuwa hawajui yanaweza kuwakuta haya? Walijua wanafanya kwaajili yangu ili niwapelekee mkate?
Kila anayefanya siasa anajua matokeo ya siasa,ukishinda wewe ni shujaa na ukishindwa utaumia.
Kwa wewe kutokujua hili hakubadilishi ujinga wako.
 
Back
Top Bottom