CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 18,234
- 34,353
Abdul amesitisha huduma, aliwastukia kuwa wasingetoboa hivyo alikuwa anatoa hela hatua kwa hatua hapo walipofikia amejiridhisha kuwa hawabebeki kwani hata kupewa majimbo yale ya nusu mkate italeta zogo kubwa kwa sababu hawaungwi mkono kabisa.CHAUMA mlikuja na nguvu ya kutisha. Naona pumzi imekata. Labda sababu ya maokoto. Mikutano haipo kama vile Chama kimekufa. Amkeni tunawasubiri.