CHAUMMA mpo?

CHAUMMA mpo?

Wamemaliza awamu ya kwanza kwa mafanikio makubwa sana kwa kutumia chopa, sasa tunasubiri infantry ianze kazi!
 
Haaaa tunawasuburi waanze kampeini Kwa gari uku ground 😁
 
Ushauri wangu kwa mzee Rungwe, hizo hela weka benki, Kula wali polepole, achana na kampeni, hizo hela watakula hadi vijukuu. Ukifanya kampeni kina Mdee watapita nazo, huwajui wachaga wewe, kiboko yao Lissu tu
 
CHAUMA mlikuja na nguvu ya kutisha. Naona pumzi imekata. Labda sababu ya maokoto. Mikutano haipo kama vile Chama kimekufa. Amkeni tunawasubiri.
Waliingizwa chaka kwa sasa hawana la kufanya.
 
Wamemaliza awamu ya kwanza kwa mafanikio makubwa sana kwa kutumia chopa, sasa tunasubiri infantry ianze kazi!

Wamefeli kabisa. Mikutano wameishia njiani. Baadala ya siku kumi na SITA wao wamefanya siku Saba. Halafu helicopter ili haribika na Mzee kuugua ghafla, so hakuna mafanikio Bali majanga.
 
Wamefeli kabisa. Mikutano wameishia njiani. Baadala ya siku kumi na SITA wao wamefanya siku Saba. Halafu helicopter ili haribika na Mzee kuugua ghafla, so hakuna mafanikio Bali majanga.
Ila wanasiasa hatari, Yaani mmepambana kujenga chama kwa miaka 20+ halafu unakuja kukiacha kisa kashinda usiyempenda, duh huku mkidai demokrasia🤣🤣🤣
 
CHAUMMA wajifunze kwa ACT mwaka 2015. Na mikwara yote ya kukinanga CHADEMA wakapata Jimbo moja na kura za urais elfu tisini tu, mwishowe wote wakahamia CCM na kumuacha zitto peke yake.
 
Back
Top Bottom