CHAUMMA chaumia Mwanza

CDM ina mambo yake mengi ya kujadili namna ya kukabidiliana na ubedhuli wa ccm hatuna muda na hicho kinyago chenu mlicho kichonga.
kwanini kwenye kikao cha kamati kuu ya chadema agenda kuu ilikua CHAUMA ?🐒
 
Mbowe, healing has to take place now, please. Njoo ujenge chadema kama ulivyoifikisha hapa ilipo!
mlivyokuwa mnamttukana mzee wa watu aje kufanya nini subirini mhaini wenu akitoka mwakani ataendelea alipoishia
 
mtahenya sana mwaka huu chadomo mpaka yule mhaini wenu atakapo toka mwakani uchaguzi ushaisha awakimbie aende zake kwa mewake mtahenya
 
Ccm wanatumia pesa za umma kudhoofisha upinzani halali japo bila mafanikio yoyote na kuna kila dalili kwamba ccm inaelekea mwisho wa uhai wake.

Mwaka kesho wakati kama huu sidhani kama hicho chama kutakuwepo, naomba mninukuu vizuri hapo.
 
Mtu aliyezaliwa kuanzia 1995 hajui chochote zaidi ya siasa za mageuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…