Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,210
- 5,676
Wananchi wa kata ya Isyese sokoni katika mkoa wa Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya sanduku lenye chatu mkubwa kupatikana katika eneo la wazi.
Chatu huyo amechukuliwa na na maafisa wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
View attachment 1722913
Noma sana.Wananchi wa kata ya Isyese sokoni katika mkoa wa Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya sanduku lenye chatu mkubwa kupatikana katika eneo la wazi.
Chatu huyo amechukuliwa na na maafisa wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa ajili ya kuhifadhiwa.
View attachment 1722913