Username 20
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 744
- 1,520
Kwa taarifa tu,, tayari mpango wa kuwa na vyuo vikuu (sio chuo maana sio kimoja) upo na tayari upembuzi yakinifu umeshafanyika
Chato kutajengwa vyuo vikuu viwili, chuo kikuu cha Dar es Salaam tawi la Chato na Chuo kikuu cha Mhimbili tawi la Chato
Sio chuo kikuu tu, mjengewe mpaka london bridgeKwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Mkuu jumbe zangu huzipati?? Kama unazipata nipm pleaseπππHakika! sisi wananchi wa pande nyingine tunaunga mkono hoja! Chato iko Tanzania
Usiwe na wasiwasi, Bashite anachukua nchi ili kuendeleza maendeleo ya lake zone.Kisipojengwa awamu hii tusahau kupata chuo kikuu cha serikali kanda hii walivyopania kutukomoa sisi wa huku.
Naunga mkonyo hoja....Chato iwe jiji kama karifonyia...mi [emoji870] tenaMimi napendekeza ichongwe mfereji wa bahari Chato ili ijengwe bandari kubwa kabisa . Haya mambo yanawezekan tuu
Naunga mkonyo hoja....Chato iwe jiji kama karifonyia...mi [emoji870] tena
Hilo tu mmepata kaka wala usihofu tena inatakiwa kijengwe chuo kikuu kikubwa kweli kitakachpokea wanafunzi 10000 ili kustimulate jiji la chatto unajua wanafunzi huwa wanastimulate pahala popote paleKwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
Munataka mpeleje Ng'ombe zikasome?
Hakuna matata. Hata mbingu na ahera zijengwe.Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani.
Kwa hayo yote yaliahidiwa kipindi cha kampeni ndani ya ilani ya ccm sio mbaya ikatekelezwa hapa chato kwa kuwa yote ni Tanzania na maendeleo kwa wote na vizazi vijavyo.
Natumaini ombi litafanyiwa kazi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena vijengwe vitano
Ova
yamekuwaPia tujenge na sanamu ya Jiwe
πm
ππ€£π
Ni wewe tu!View attachment 1679997
Unasemaaa?Ni jambo jema!
Ni jambo jema bwashee!Unasemaaa?