Chato tunaomba tujengewe Chuo Kikuu

Mimi napendekeza ichongwe mfereji wa bahari Chato ili ijengwe bandari kubwa kabisa . Haya mambo yanawezekan tuu
Mimi napendekeza
1. Mlima Kilimanjaro huhamishiwe Chattle, haiwezekani mlima huu uwe kwa wapinzani wa SISIEM. Haipendezi na haikubaliki watalii kwenda kwa hawa bwasheeeeeeeeeeeeeee wasiompenda JIWE
2. Bahari ya Hindi ihamishiwe Chattle
3. Yeyote asiyemwabudu JIWE afutiwe uraia
 
Nasikia utafiti unaonyesha kuwa wanafunzi wote walioomba mkopo wakiwa wamejaza "Chattle" kwenye kipengele cha wilaya yako wamepata mkopo 100%
 
Chuo Kikuu kinakuja kitakua attached na Hospitali ya rufaa ya Kanda.
 
Msukuma mmoja anafanya wasukuma wote waonekana washamba!!
 
Ni undezi tu unaowasumbua
 
alafu na kariakoo pamebanana sana waipeleke pale chatle majaruban kuna nafas ya kutosha pale
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Kwa unafiki huo nahis umetoka toilet bila kuchamba unaiwaza chatoo tuu, toroka ujee๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ