johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
TBC imekuwa yake!Karibu TBC tufuatilie mapokezi ya Rais wa Uganda mh Yoweri Kaguta Museveni mjini Chato mkoani Geita.
Up dates;
asante tupo tayari..mimina data tu.Karibu TBC tufuatilie mapokezi ya Rais wa Uganda mh Yoweri Kaguta Museveni mjini Chato mkoani Geita.
Up dates;
saa 24 inamtangaza yeye tu?TBC imekuwa yake!
Umbea mtupuKongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
Wale wapambe wanafiki ndio ninyi mnaoshindwa kumwambia ukweli,zaidi mnamperemba kwa sifa za uongo!!!!Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
Umbea mtupu
kiongozi wa nchi nyingine akiingia ndani ya mipaka ya JMT anakuwa kaitembelea TZ lakini kutembelea kupo kwa namna nyingi. kuna kutalii , ziara ya kikazi, kutibiwa au kupita tuKWAHIYO ATATEMBELEA NCHI AU NYUMBANI KWA JIWE
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
Ni ziara binafsi!KWAHIYO ATATEMBELEA NCHI AU NYUMBANI KWA JIWE
Umeshikwashikwa huko unakuja kupuyanga hukuKongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
CHAKUBANGAsaa 24 inamtangaza yeye tu?
Wale wapambe wanafiki ndio ninyi mnaoshindwa kumwambia ukweli,zaidi mnamperemba kwa sifa za uongo!!!!
Rais kama yupo likizo madhani hata hiyo ziara ni binafsi TBC hawakustahili kuonyesha live kwani ni ziara binafsi si ya kikazi...kiongozi wa nchi nyingine akiingia ndani ya mipaka ya JMT anakuwa kaitembelea TZ lakini kutembelea kupo kwa namna nyingi. kuna kutalii , ziara ya kikazi, kutibiwa au kupita
POMBE LAZIMA 1MWAGWEMjomba mfano 2020 akipokonywa taji anaweza kufa kwa presha 🤣🤣
Ndio nasema hizo sifa mnazompa si za kweli,mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!Naye mmeshamjua anapenda misifa basi nanyi ndio mnamjaza ujinga!Eti wakongo hawasikilizi tena mziki bali hotuba za JPM,mweh mweh mweh hata mimi siwezi kukubali kusifiwa kinafiki namna hii!Unafiki na uongo ni dhambi, jua hilo kwanza. Mnufaki wa mfumo fisadi lazima imuwie ngumu kunielewa.