Chato: Rais Magufuli ampokea Rais Museveni wa Uganda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
Karibu TBC tufuatilie mapokezi ya Rais wa Uganda mh Yoweri Kaguta Museveni mjini Chato mkoani Geita.

Up dates;
Rais Museveni ameshawasili na nyimbo za taifa zinapigwa pamoja na ule wa Afrika ya mashariki.

Sasa ni wakati wa kuomba dua na anaanza kiongozi wa Bakwata na amefuatiwa na askofu Severini wa Kanisa Katoliki.

Rais Magufuli anamkaribisha mgeni wake ambaye ametokea Angola na kuja direct Chato aweze kuongea na watanzania.

Rais Museveni anaanza kuelezea maana ya neno Chato na anasema kuna chato cha zizi la ng'ombe, chato cha pombe na chato cha wavuvi.

Museveni anasema wakati waislamu wanaenda Hijja Mecca na wakatoliki wanaenda Roma yeye na wapigania uhuru wote kusini mwa Afrika Hijja yao ni Dsm nchini Tanzania.
 
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
 
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
Umbea mtupu
 
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
Wale wapambe wanafiki ndio ninyi mnaoshindwa kumwambia ukweli,zaidi mnamperemba kwa sifa za uongo!!!!
 
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.

Wewe watazame watu nyuso zao utagundua kwajinsi zilivyo na stress, wasiwasii yani kwa Ujumla wamechakaaa

Mtukufu Rais ni maji ya uzima
 
Kongo DRC Wakongoman wameacha kusikiliza muziki wao, siku hizi wanatembea na simu zao huku wakisikiliza hotuba za Magufuli-JPM. Wasio mpenda watanuna tu hamna jinsi nyengine ya kuwa saidia.
Umeshikwashikwa huko unakuja kupuyanga huku
 
kiongozi wa nchi nyingine akiingia ndani ya mipaka ya JMT anakuwa kaitembelea TZ lakini kutembelea kupo kwa namna nyingi. kuna kutalii , ziara ya kikazi, kutibiwa au kupita
Rais kama yupo likizo madhani hata hiyo ziara ni binafsi TBC hawakustahili kuonyesha live kwani ni ziara binafsi si ya kikazi...
 
Unafiki na uongo ni dhambi, jua hilo kwanza. Mnufaki wa mfumo fisadi lazima imuwie ngumu kunielewa.
Ndio nasema hizo sifa mnazompa si za kweli,mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa!!Naye mmeshamjua anapenda misifa basi nanyi ndio mnamjaza ujinga!Eti wakongo hawasikilizi tena mziki bali hotuba za JPM,mweh mweh mweh hata mimi siwezi kukubali kusifiwa kinafiki namna hii!
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom