Chato: CHADEMA yashinda wenyeviti wa vijiji Chato Mjini

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa Ushindi wa CHADEMA. CCM walinunua Wenyeviti wetu wawili Mwenyeti wa Kijiji na kitongoji Chato Mjini wakaamia Ccm, wametangaza Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kitongoji na Mwenyekiti Kijiji *Limeimia lile neno lisemalo "HATA SASA BWANA AMETUSAIDIA"* tumeshinda Vyote Vimerudi Chadema Ahsante wana Chato kwa Uaminifu, ingawa Mtendaji wa kata ameamishwa amepelekwa kijijini katika Kata ya kachwamba wilayani Chato.
 
Hiyo itakuwa Chato ya hapo Mikocheni!
 
Back
Top Bottom