Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,123
- 11,354
Chatgpt sio binadamu😅Chatgpt ni AI wa dhehebu gani? Tuanzie hapo kwanza
ChatGPT hana dini wala dhehebu... kwa kifupi yeye na Kiranga lao moja 😁Chatgpt ni AI wa dhehebu gani? Tuanzie hapo kwanza
Usipomtaja YESU KRISTO hujisikii kabisa ndugu yanguChatgpt yenyewe inajua Mungu anataka kuabudiwa na kuombwa yeye tu, sasa sisi tumetoa wapi habari ya kumuomba yesu?
Uliza na hii huko chartgpt.Chatgpt yenyewe inajua Mungu anataka kuabudiwa na kuombwa yeye tu, sasa sisi tumetoa wapi habari ya kumuomba yesu?
Chatgpt ni kama mzimu wa kizungu tuChatgpt sio binadamu😅
Wanatengeneza sanamu kwa mikono yao na wanaliomba tena wenyeweUliza na hii huko chartgpt.
NdiyoUsipomtaja YESU KRISTO hujisikii kabisa ndugu yangu