ChatGPT AI asema Jamaa uenu hatoki

ChatGPT AI asema Jamaa uenu hatoki

Ndio maana mahakama zingine hazifanyi maamuzi based on chatgpt, court dunian hawatumii hiyo kitu.

Hiyo tool tu, and lazima uelewe inaweza kua wrong au right, haiko right muda wote
Wengine hapa huwaga hawajui kinazungumzwa kitu gani wanakuja na matusi wanazani yanafundishwa.
 
wadhungu wajanja Sana kama walivyokataa kutupa muongozo juu ya utandawazi, Leo Tena wanatutupia AI Kisha tujiongeze wenyewe😭
 
Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa.
Msipoteze hela kuwalipa mawakili ,japo sitoi mimi ,Mawakili watataka kutafuta umaarufu kupitia Mheshimiwa Lisu ,hata ukitoka msamaha Mawakili watajilabu.
Huwezi kucheza mpira ukiwa nje ya uwanja na humo katika wachezaji 22 , kama ni rafu au fawlu basi ni lazima uwemo ndani ,nje mtalusha mawe na kufungwa mtafungwa ,ila ndani mnaweza kuizidi ccm kwa rafu.
Tatizo wabongo ni wabishi wanaona watashinda au kuvuruga wakiwa nje ya uchaguzi,ile kusema tu ni kosa unasubiriwa ushahidi.
Hivi ni lugha gani uliandika ukiwa umelewa ugoro mkuu?
 
kesho hatuijui, unadhani hata hao akina naniii haya wanayapenda.....
 
Nyie mwageni tu matusi Lakini kwa bangi hizi October jamaa atapiga kura akiwa mahabusu.
 
ChatGpt ( Mental wheelchair or Mental Ambulance ).
Kijana angalia Sana Kuna watu watakusaidia kuhcheza na spika.
 
Nyinyi vijana wa ccm wengi wenu ni wajinga mlokubuhu

Umeandika nini hapo?
 
Jaza hotuba ilivyo sema halafu sikiliza jawabu ,Chadema ombeni msamaha ujuwaji wenu unamuumiza mwenzenu .akubali alikosea maana unapoipeleka maneno ya Mheshimiwa Lisu ,jawabu unapata ni kosa.
Msipoteze hela kuwalipa mawakili ,japo sitoi mimi ,Mawakili watataka kutafuta umaarufu kupitia Mheshimiwa Lisu ,hata ukitoka msamaha Mawakili watajilabu.
Huwezi kucheza mpira ukiwa nje ya uwanja na humo katika wachezaji 22 , kama ni rafu au fawlu basi ni lazima uwemo ndani ,nje mtalusha mawe na kufungwa mtafungwa ,ila ndani mnaweza kuizidi ccm kwa rafu.
Tatizo wabongo ni wabishi wanaona watashinda au kuvuruga wakiwa nje ya uchaguzi,ile kusema tu ni kosa unasubiriwa ushahidi.
Pumbavu kabisa wewe.
 
Mseng...kweli
 
Back
Top Bottom