Chatanda: Tundu Lissu lazima ang'oke!

Chatanda: Tundu Lissu lazima ang'oke!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,982
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
 
Huyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn
 
Huyo mama kaishiwa sera, kaona aropoke awafurahishe magamba, alimshindwa lema pamoja na kutumika kusababisha mauaji Arusha, yeye mwenyewe tatizo UVCCM Arusha wamemng'oaida hana jipya., acha akastaafie huko sing
 
Daah mkuu tuna hasira na magamba lkn hapa ume over look kwasababu moja tu kuwa umwana mabadiliko nimeshindwa kurepot thread! Edit post yako uweke ukali mwingine lakn sio tusi kaka
Ha ha ha! Anafikiri tundu ni kitanda eti! Ku.mama zake huyu
 
Huyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn

Muulize LEMA ndiye anajua mziki wake.
 
Kushushana Kisiasa Sio Kazi Iliyo Waweka Madaraka They Have To Thnk Jinsi Watavyotuletea Maendeleo Na Kutubadirishia Mfumo Mbovu Wa Maisha
 
Lazima ang'oke kwa sababu Zipi? Katiba ya JMT Inasema Kwamba mbunge ni mwakilishi wa watanzania, sio wa jimbo lake tu. Je mama Huyu anajua ni mangapi lissu amewafanyia watanzania bila ya kujalisha itikadi zao? Ni Kwamba tu akili Zetu zinaendeshwa na matumbo badala ya ubongo, hivyo kushindwa kuona mambo rationally and objectively. Pia ni Kwamba we are taking things for granted kwasababu tunaishi ndani ya mabadiliko, Vinginevyo lissu ameshaingia Katika vitabu vya historia na Hakika jina lake litatajwa sana miaka mingi ijayo nchi hii itakapokuja kombolewa kutoka kwa mafisadi na manyang'au wasio heshima Sheria na Haki za wananchi. Hata Kama itakuja kuwa mwaka 2090, lissu atajadiliwa kama mashujaa wa harakati hizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alishindwa na lema sembuse lissu, au ameandaa mapanga ya green guard
 
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
Mbunge wa iramba (M) ndio nini?
 
Hujui kitu wewe, ramani ya tz huijui, geographia huijui, wala ramani ya tanzania hata mipaka ya utawala na siasa huijui unapaparika tu kama mtetea...mbunge wa iramba ni mwanamke anaitwa mwambu au tundu lissu naye siku hizi ni mdada?
 
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.

Kwani huyu naye ni mpig KURA wa jimbo la Singida ?

I cannot believe this for sure .
 
Back
Top Bottom