Chatanda: Tundu Lissu lazima ang'oke!

Chatanda: Tundu Lissu lazima ang'oke!

Huyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn
huyu mama ni janga la kitaifa
 
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.

Lissu ni zaidi ya MT EVEREST ukijaribu kuupanda basi safari yako itaishia njiani au kupotea kabisa kutokana na hali ya mlima ulivyo.
 
Lissu ni Mbunge wa Singida mashariki....Huyo chatanda ndye atapiga kura zitoshe kumtoa Tundu Lissu? Kama tu alishindwa kurejesha hata kata 1 tu Arusha , ataweza kwa Lissu?

Kanikumbusha kauli ya Mwenyekiti wa Simba huyu Aveva eti "Mimi nimeingia madarakani kuifunga yanga" sasa hivi timu inatoka suluhu tu kila mechi...

Amekuja moto Atarudi baridi..
 
Lisu siyo wa nguvu nyingi kumuondoa mwepesi sana wakati ukifika mtayaona.
 
Huyu mama ni kelele nyingi tu hana lolote. Lisu kisiki cha Mpingo. Lisu hazina ya taifa. Lisu anatumia logic siyo thorax kama Lema. Lisu atamshinda mapema asubuhi. Kipindi hichi ndiyo huyu mama atachanganyikiwa kabisa. Lisu hangooki kwa ujio wa irrational and unorganised person kama Mary Chatanda. Mary please watch out, Lisu will truely frustrate you at the crack of the dawn
By the way nguvu na kiburi cha huyu mama ilikua ni Lowassa kule Arusha. Lowassa hayuko Singida. Pia ikumbukwe wabunge wengi wa Chadema ni wabunge wa taifa zaidi kuliko majimbo. Watu wako tayari kusafiri kwenda Singida kulinda kura za lissu tu.
 
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.

Chatanda kamshindwa Lema atamuweza wapi Lissu! Lema aliwanyayansa Chatanda na Lowasa kwenye uchaguzi wa ubunge Batilda akilia kama mtoto; zikafuata kata za Sokon 1;akawawasha; kisha zile 4 za madiwani waliofukuzwa kwa mpigo, Lema akawapiga brush 4 BILA! na baadae Sombetini akawapiga kwa kumpitisha kada wa zamani wa CCM Ally Bananga. Atafakari kauli zake kabla ya kuropoka!!
 
Lazima ang'oke kwa sababu Zipi? Katiba ya JMT Inasema Kwamba mbunge ni mwakilishi wa watanzania, sio wa jimbo lake tu. Je mama Huyu anajua ni mangapi lissu amewafanyia watanzania bila ya kujalisha itikadi zao? Ni Kwamba tu akili Zetu zinaendeshwa na matumbo badala ya ubongo, hivyo kushindwa kuona mambo rationally and objectively. Pia ni Kwamba we are taking things for granted kwasababu tunaishi ndani ya mabadiliko, Vinginevyo lissu ameshaingia Katika vitabu vya historia na Hakika jina lake litatajwa sana miaka mingi ijayo nchi hii itakapokuja kombolewa kutoka kwa mafisadi na manyang'au wasio heshima Sheria na Haki za wananchi. Hata Kama itakuja kuwa mwaka 2090, lissu atajadiliwa kama mashujaa wa harakati hizo.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu,
Ukitaka kusifiwa na ma CCM basi tangaza vita na wale watu ambao ni threat kwa ma CCM
 
CCM wanawaza kutawala tu sio kutatua matatizo ya wananchi.

Ndio Maana kijana yeyote anaeshabikia CCM lazima nimchunguze anafaidika na nini kuishabikia CCM, nikiona hafaidiki kwa lolote namwonea huruma mno.
 
Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.

Amechemka Arusha ataweza Singida?
 
Mchambuzi, capacity yako ya Ku-reason inashabihiana sana na capacity ya Mh. Tundu Lisu. Comment zako hapa JF ni hazina kubwa kwa wanaozisoma kwa kushirikisha bongo zao.
 
Hujui kitu wewe, ramani ya tz huijui, geographia huijui, wala ramani ya tanzania hata mipaka ya utawala na siasa huijui unapaparika tu kama mtetea...mbunge wa iramba ni mwanamke anaitwa mwambu au tundu lissu naye siku hizi ni mdada?
wewe unaejua twambie hamsini kwa hamsini maana yake nini? kiserikali? kidini? kimila?kinini?
 
tangia lini lisu akawa mbunge wa iramba? ama kweli hizi bange zinatuharibia vijana wetu sana.

Hatimae aliekuwa katibu wa CCM mkoa wa Arusha na kuhamishiwa Singida, Mary Chatanda, ametua mkoani humo na kutangaza kuongoza vita kali ya kuhakikisha Mbunge wa Iramba (M) - CDM Mhe, Tundu Lisu anang'olewa katika uchaguzi Ujao.

Itakumbukwa Mama huyu ndio yule aliyeshindwa vibaya sana katika vita ya aina hii hii dhidi ya Mbunge wa Arusha Mhe, Lema wakati akiwa mkoani humo.

Haya sasa vita inahamishiwa Singida.
 
Huyu mama ndie aliye fanya Ccm Arusha ikataliwe na wana Arusha. Hivyo Singida inakwenda kuwa kama Arusha.
 
Back
Top Bottom