kuthumiwa haule
Member
- Dec 27, 2010
- 23
- 0
- Kwa sababu ya hiyo RED hapo juu ni bora waendelee mpaka 2014,kama kuna watu wa kukumbukwa kwa kuifanyanya tanzania iunze 2011 vibaya ni hawa watu wawili, na ndiyo the most hated people in Tanzania at the moment,hawa hawafai kuliko hata kushindwa kwa serikali kuwajibika ,popote jina la makamba linapotamkwa hasira za watu zinaongezeka , makamba na chatanda hawatufai wala hawafai kuitwa watanzania.inauma na inaumiza kuwa na watanzania wa namna hii. ccm wafukuzeni hawa wanakiua chama.
Huu upupu ulouandika ndo umenisaidia vipi kumfaham huyu muuwaji!?nani kaiona picha ya mary chatanda?msaada plz ili iwe rahisi tutakapoanza zoezi la kumtenga katka kila nyanja ndani ya jamii kwani ndiye muhusika mkuu wa yote ya liyotokea arusha,hivi makazi yake haswa yapo wapi?
Baba Enock,
Hilo jina ni la kwake kabisa, yaani ni halisi kwani ktk website ya bunge jina hilo lipo, sema hawajaweka picha yake. Ingia katika website ya bunge, search jina Mary utaona Chitanda
huyu mama ana mume kweli?
wakuu jokes aside, hivi kweli mtu akisoma hiyo heading hapo ataelewa nini? mbona tukiingia kwenye thread yenyewe inakua kama udaku tena?? and how many threads regarding Mary can we open??
simpendi huyo dada lakini tukienda mtindo huu, ataishia kutudharau mazee
nimetafuta picha kwenye google bila mafanikio