CHASO,Tanga wakana Uasi: Waunga mkono Zitto kutimuliwa CHADEMA

Ni jambo wazi kabisa, kwa nini kutimuliwa kwa akina Zitto CCM hawalali? Kama wanamuona anafaa si wamchukue akawe asset kwao? Wamtumie kama wanavowatumia akina Shonza? Mtela?

Mkuu hapo ndo hata mjinga kabisa atastukia hili dili, wao wanadai kuwaondoa hao kutakiua chama, sasa iweje kifo cha CHADEMA iwe msiba kw MACCM?

Yaani hii pre empty technique imetulia sana, Bravo CC
 
Mkuu hapo ndo hata mjinga kabisa atastukia hili dili, wao wanadai kuwaondoa hao kutakiua chama, sasa iweje kifo cha CHADEMA iwe msiba kw MACCM?

Yaani hii pre empty technique imetulia sana, Bravo CC

tunakushukuru sana kwa kuustukia mchezo mjomba .
 
Kwa kweli imependeza sana jinsi wanachama walivyosimama na Kamati Kuu..

Ukiona sehemu wamepinga fahamu hao ni vibaraka wa CCM na walishafukuzwa uongozi siku nyingi.

MOLEMO ni YAHAYA ,MUNGI ni KARUBANDIKA wote wanaishi kwa neema za TAPELI LEMA , DJ MBOWE na MWIZI WA WAKE ZA WATU MUASI WA KANISA DR. SLAA
 
ONYO - CHADEMA AIHUJUMIKI ! kama UMECHUKUA HELA YA WATU RUDISHA! VINGINEVYO UTAAIBIKA VIBAYA SANA !
 
MOLEMO ni YAHAYA ,MUNGI ni KARUBANDIKA wote wanaishi kwa neema za TAPELI LEMA , DJ MBOWE na MWIZI WA WAKE ZA WATU MUASI WA KANISA DR. SLAA

UMASIKINI ni HATARI , LAKINI UMASIKINI WA AKILI NA KIPATO NI HATARI MNO !
 
molemo,
kazi unayoifanya ya kukinga maji kwenye gunia itakutesa sana. subiri kidogo tu utaona matokeo ya mgogoro unaoendelea kufukuta ndani ya saccos ya mtei. ni kama cuf baada ya kumfukuza hamad rashid. hata uchaguzi wameshindwa kufanya, hakuna watu. chadema falls the same line

pole sana kwa Kuwa mvivu wa kufikiri katka kalne hii ya wajanja,munapoteza mda we nu kuaminisha wavivu wenzenu ya kwamba zito na wenzake ni zaidi ya chadema,kama zito ni mbora kiasi hicho inakua vipi kwenye jimbo lake chama hakina nguvu?halmashauri nzima chadema inadiwani mmoja?nakama zito ni maarufu kiivo basi aanzishe chama au ahamie chama kingine.
 
MOLEMO ni YAHAYA ,MUNGI ni KARUBANDIKA wote wanaishi kwa neema za TAPELI LEMA , DJ MBOWE na MWIZI WA WAKE ZA WATU MUASI WA KANISA DR. SLAA

Mtu aliyechabganyikiwa kama wewe ni lazima utukane matusi hivyo.

Kibaraka wenu ameshafukuzwa na hamna namna Ingine.Hakujua wenzake wameshika mpini na yeye makali.
 
Mwanacdm wa halali anayejua maana ya kamati kuu hawezi kupinga maamuzi yake .

Kwa andishi hili tunawataka viongozi wa chama majimboni na mikoani kuitisha vikao vya dharura kufukuza wahuni wote waliotoa matamko uchwara ya kukashifu Kamati Kuu.

Walau ndani ya wiki moja waasi wote ngazi za chini wawe wamefukuzwa.
 
chanzo gazeti la mjomba mengi. unatarajia nini.
haina tofauti na habari utakayoiona uhuru mzalendo au tanzania daima. ukweli ni kwamba demokrasia imekatwa kidizaini fulani. kila mtu anaona. wapinzani mnatuangusha kwa sisi tunaotaka mabadiliko.

Jina nalo kaka linaleta maswali mengi na hasa tukiingia katika uelewa wako .Au comments zako ndiyo reflection ya jina lako ?
 
inasikitisha tunapopofushwa na mawimbi ya utaahira wa kufikiri, sina nia mbaya na yeyote katika kutimiliza matakwa ya dhamira ya moyo wake kama muumba alivyomjaalia

lakini sidhani kama tuko sahihi sana kwa sasa kutoa matamko ya kuunga au kutounga mkono yote yaliyojiri katika kamati kuu au hata hojaji zozote zinazopita dhidi ya maamuzi ya kamati kuu ya CHADEMA. Binafsi ninadhani ni muda wa kukaa na kusubiri siku 14 zilizotolewa na Kamati kupisha majibu ya walijeruhiwa kwa maamuzi ya Kamati,

Majibu ndio yatakayotoa Dira ya nini cha kufanya katika hatua B

Hatujui ni kiasi gani Viongozi walioenguliwa wamejipanga kujibu tuhuma dhidi yao

hatujui ni nani atatoswa na nani atapona katika utetezi au wote wakajikuta hawakumbwi na ufagio la Chama kwa tuhuma zilizowasilishwa kwao.

Ni busara kusubiri kwani maamuzi ya mwisho pia yapo katika ngazi ingine, inasikitisha kuona mjumbe wa ngazi ingine kuomba kupelekewa tuhuma za kesi hata kabla ya siku 14 hazijaisha.

Ni wazi nae ameshatoa hukumu katika kesi inayotarajiwa kufikishwa mbele yake jambo ambalo sio afya kwa Chama.

Babujii
 
Kwa andishi hili tunawataka viongozi wa chama majimboni na mikoani kuitisha vikao vya dharura kufukuza wahuni wote waliotoa matamko uchwara ya kukashifu Kamati Kuu.

Walau ndani ya wiki moja waasi wote ngazi za chini wawe wamefukuzwa.

Mkuu wala hakuna haja ya kupoteza resources. Watajitoa wenyewe
 
Watawaelewa tu , hamna namna kwani msaliti ni msaliti tu na huu usaliti wao ulishaonekana kwenye matendo yao toka kitambo.
 
Mimi nawashukuru sana maccm kwa jinsi wanavyozidi kupiga kele kila kona ya nchi kumpigania mtu wao abaki Chadema, wanatusaidia sana kuujulisha umma wa watz kuwa Zitto ni mtu wao. Nakumbuka wakati wa vita ya Kagera Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa Iddi Amini alitusaidia kuitangazia dunia kuwa ametuvamia kwa kutamba kuwa kipande cha nchi yetu alichokimega ni sehemu ya Uganda hivyo hatukuwa na njia nyingine ila kumtandika na kumtoa nje ya mipaka yetu. Vivyo hivyo kwa wana CCM kuendelea kumuombolezea shushushu wao inatuacha bila njia nyingine zaidi ya kumtoa huyu nduli kwenye chama chetu.
 
Back
Top Bottom