Chart za top 10 &20 za mziki wa bongo na maajabu yake

Ladder 49

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
3,367
2,000
Wakuu Habari zenu,

Baada ya kuona hizi chart za muziki katika hivi station nikashangaa sana nikao Sio mbaya na mimi nikashare hiki yaani kumbe kila redio ina top 20 au top 10 za nyimbo zake

Usione eti kwenye mitandao nyimbo ukasema hiyo noma ukija kwenye radio huku hata kwenye top 20 aipo kwenye kituo flani na kingine ipo tena huko inakimbiza

Yaani kama vile hizo radio ziko nchi tofauti

Yaani unakuta cloudsfm nyimbo iko kwenye top 10 kwenye chart za top 20 ,hiyo nyimbo ukija mfano kuitafuta kwenye radio free Africa chart za top 20,auikuti kama ukiikuta basi ni moja
Tu
Angalia hapo chini ujionee chart ni za October 07 2018


4E7C3D49-32BE-4BFC-89F9-1791F894F77F.png


74E0EDC2-81FE-480B-9E84-20EC6D7D6BB9.pngB47E6A9D-7F75-4FC4-96E6-DE85B66AD773.jpegNachokiona nikama radio zina wasanii wao au wasanii fulani awatakiwi radio fulani wasikike


Nachoamini kama nyimbo nzuri basi kila sehemu ya radio itakuwepo tu kama ilivyokuwa zamani.

na hata hizo chart kutofautia kidogo tu sio kwamba kama ilivyohapo top 20 ya cloudsfm ukichukua top 10 yao kwenye radio free Africa inaingia nyimbo moja tu

Hapo inaonesha cloudsfm top 10 zao ni hovyo azina viwango au radio free Africa ndio za hovyo


Hata kama watu tofauti wanapiga kula ila sio kwa kutofautiana huko.

Nawasilisha.
 

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
7,975
2,000
Honestly sijaona uzuri Wa huo wimbo Wa Maua Sama Iokote..tena naona bora ule aliimshirikisha Bernard Paul.. Naona promo inahusika sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom