Charming lady....................

mwenzio natumia kamchina hata cjajua image ina nini. mbona unaniaga kwa masikitiko. . . ntarudi wangu safari co kifo!
charminglady....Haya rudi....ila usisahau sato pale mwigobero............halafu pitapita mitaa ya makoko na Iringo ushangaeshangae ziwa...........Sikwambii image ina nini, utafungua mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
yan kutembea huwa naona uvivu kweli. nkifika napiga issue ilonipeleka then full kulala.kutoka ni vile kwenda kula na kunywa nahc itakuwa sehemu 1. thn back. kuzurura co hobbie kabisaaaa
 
of coz yes, nlitaka kufanya sapraiz bt naona km sapraiz yenyewe ishaaribika. vp keki ya b-day bdo ipo?

Mwanangu umeanza eh?@CUTE anajua kuwa unakwenda kwa Saint Ivuga?? Ngoja @Sobhuza atoke kifungoni....
 
Last edited by a moderator:
najua saivi unatumia charming lady but nimezoea charming girl sa unasafiri waenda wapi??
 
najua saivi unatumia charming lady but nimezoea charming girl sa unasafiri waenda wapi??

naenda musoma mkuu, kama hujaona post yangu hapo nyuma nimeandika kuwa ntakuwa musoma jmos so wanajf wa musoma wanipe kampan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…