Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,083
- 12,326
Kijana umechemka naona unamwaga mapovu sasa.
Yohana kaingiaje hapa?
Dah! Babu ww mbishi sana.
Ubishi wa aina yako unapatikana kwenye mihadhara tu.
Yani kule hakunaga kushindwa, ni kushinda tu, hata kwa hila.
Utamuita mtu hata kelbu, ili umtoe nje ya hoja na ww uwonekane mjuzi wa ligi mwisho wake ushinde.
Hicho ndicho ulicho kileta humu.
Watu wote wamekuachia ww mjadala,baada ya kugundua huna nia ya kueleweshana bali unalengo la kushinda.
Mkuu acha hizo, sio kila sehem kunahitajika ubishi.
Chingine jifunze kua na lugha mzuri/sio vineno vyenye kutia hasira upande wa pili.