pia wapo wanaopata HIV bila kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja. na wengine hata bila kujua sex ninini...au wake/ wame waliopimwa HIV nakukutwa wao hawana ila wame/wake zao wana maambukizi, au machangu walio hiv negative, au waliongezewa damu yenye hiv mahospitalini bila kujua....., dah asa hapa ...mipango ya mungu...destiny na fate...Dah ushanichanganya hebu ongezea nyama na eneo hili nielevuke mkuu.
Kwanza lzm utambue kuwa Hiv haiui na wala Sio maradhi. Hili nimelijadili kidogo ktk uzi mmoja huko nyuma
Pili tatizo lolote ambalo linamtokea mwana Adamu ambalo Liko nje ya Uwezo wake hilo kwa wenye Kuamini Mungu ndio linaitwa Fate.
Destiny ni tendo ambalo binaadamu Kwa uwezo wa kifikra aliopewa na Mungu anaweza kulimudu kwa namna ya maamuzi yake ktk maisha.
Tatizo ni kuwa Lugha yetu ya kiswahili Ina mapungufu mengi tu ktk kutoa tafsiri
FATE na DESTINY Zote zina maana moja kwa kiswahili ambayo ni (HATMA)
Lkn kiingereza Destiny is the events that will necessarily happen to a particular person or thing in the future.
FATE is the development of events outside a person's control, regarded as predetermined by a supernatural power.
Kwa muumini km mimi SUPERNATURAL NI MUNGU MKUU.
Full stop.
Hapo ktk Maana ya Destiny tendo/jambo linalokuja japo kuwa huenda likakutokea Lkn SIO LZM Litokee.
Ndio maana ukaskia watu wanasema He/she changed her/his destiny by taking different dose.
Lkn FATE ni suala LISILO EPUKIKA!
Limeshapangwa Na Hatta ufanye Nini HUWEZI KULIEPUKA.
Sasa hao walioambukizwa Virusi kupitia Blood transfusion je! Walichukua hatua zote muhimu kabla ya Kuwekewa hio damu? Km walipuuzia Basi Hio huwezi kusema Ni mipango ya Mungu.
Mfano Mlevi akaamua kuendesha bus na akapata ajali na kuvunjika vinjika ovyo na baadhi ya abiria Kukatika miguu na viuno hapo inategemea Mambo yote mawili.
Kwa dereva hio huwezi kuiita FATE wala Destiny bali hio inaitwa He choose his Destiny. Na sio FATE kwa sababu alijua hatari ya kuendesha wakati kalewa.
Ukija kwa abiria sasa lzm ujiulize
Je abiria walihakiki Dereva mzima?
Au walipata hisia zozote kuwa huyo dereva mzima?
Km waliingia na hakuna aliyepata hisia yyt ya ulevi wa dereva na Wakafunga mikanda yao salama na kuhakiki hawajazwi km nyanya kwenye kapu basi Ajali hio tunaiita FATE or sometime pre destiny na Akifa mmoja wao hio inakuwa ndio FATE yake.
Nadhani nimejaribu kidogo kukupa nyama uliotaka.